Sidhani, mie mbona nakohoa na kwenda haja navyotaka..
Kama ni swala la kutaka kufanya mambo bila kufuata sheria hayo mengine, mie naishi kutokana na sheria za nchi, nikiambiwa sheria inasema hivi nafuata hivyo, inasema vile nafuata tena..
Sijitakii matatizo yasiyo na msingi yatakayonifanya nikose kipato changu na kuwapa shida familia, rafiki na ndugu..
Tunakuza mambo sana, ningekuwa na hela ningekupa uende Burundi, Rwanda, Gabon, Eq Guinea, Morocco, Egpyt, Tunisia, Algeria, Cameroon, hata Uganda ujaribu kuvunja sheria ujionee yatayotokea...
Ishi maisha yako, fuata sheria, dai haki zillizo kwenye sheria, sidhani kama TZ itakukatilia...
Ila nenda kinyume na sheria kazi unayo...