Mhhh? juzi tu ulikuja hapa na lijiuzi kuwa bado unamkumbuka marehemu mpenzi wako, halafu na yule mbongo movie vipi?
Sasa huyu wa Jf kapatikana lini?
Aaaah kumbe hayanihusu.....ngoja mengine nimuachie baba na mama.....!
afu wewe si umeambiwa uweke picha yako UMUKAGAME aone kama kweli wewe maarufu sasa kilichokuleta huku ni nini?
Mbona kama mabinti wa hapa mmechanganyikiwa vile..??!!
Jf kuna machangudoa wengi sana siku hizi.
.
wivu utakuua hamjui kama mimi na yeye sasa ni mwili mmoja??
Hahaha hebu/punguzeni kuwa naDu,wewe mama umezidi uongo,juzi ulikuja na uzi unatafuta mwanaume ambaye single parent.Leo jf imekupatia mume, sijui hiyo ndoa imefungwa lini au ndo furahisha baraza.
hapa najibishana na mwanamke mwenzangu
Daaaa ina maana mtoa mada ana jisingizia?
Tuheshimiane basi au unataka tuvunjiane heshima?
Habari!,..
Nina Furaha Sana sanaaa na Naishukuru kipenzi changu Jf!!.Imenipatia Mme Kipenzi,laazizi anaejua nini thamani ya mwanamke!!.anaejua kujali na kupenda kweli...najisikia kupendwa,najiona mwenye bahati sana.
trust me,jf kuna wanaume wazuri sana waojua kupenda na kuwa na relationshp nzuri!!.
to yo >hubby najua umepasoma hapa,nataka ujue i love u more than yesterday..ur the reason i smile everyday,ur special hubby,love me more nizidi kupagawa!!.
mahaba ninyongeee mieeee!!,nikafie mbali kwenye kifua cha @_____ __,love u nyang'anyang'a!!.
mnaotafuta hapa wapenzi,msijali mtapata tu,na mlopata hongereni! lolz.....
hahahah! wapi team free P,,,mwenzenu huyu hapa
Nipo dear..
Hebu nipe muhtasari..
leo mmetongozwa
kesho mmelalwa
kesho kutwa mmefiwa
jana mlitaka kuanzisha saccoss ya wapweke
juzi kati mahb sijui kufanyaje!
kheeeeee na mnawatoa wapi wanaume wasiowakunja vizuri mkawa na akili hata za vicoba?
Mbona mtoa mada hachangii pamoja na Mwenza wake?!
Nahisi hapa kuna shooting!
Samahani lakini!
Jf nipatie mume na mie,mwee
afu wewe si umeambiwa uweke picha yako UMUKAGAME aone kama kweli wewe maarufu sasa kilichokuleta huku ni nini?
Mweee, yani wakati wewe unahangaika kutafuta muheshimiwa first class...wenzio wanajipatia ma hubby humu humu...!
Basi huyo hubby ingawa hajatajwa jina...alivyoibuka sasa....full madedication, full makopa...
Ndo nikawaita wambea wenzangu...!