snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,324
😕wajukuu ,ngoja basi nikamate fursa mapema.
Saaaasa je!
Wenzio humu ndoa jana na Leo tu!
We unaweka miaka miwili mbele!
😕wajukuu ,ngoja basi nikamate fursa mapema.
weraweraaah mpasuke sasa!! mme ndo huyo mshamjua,na tunapendana zaidi ya jana!!.mtajiju
Kishasepa kwenda kutunga kisred kingine.
Saaaasa je!
Wenzio humu ndoa jana na Leo tu!
We unaweka miaka miwili mbele!
Utashangaa anatafuta mwanaume mwingine
Ngoja cku nijitoe ufahamu nitiririke..aftr 2 yearz na wew ulete lisledi humu kushkuru jf kwa kukupatia hubby
We naeeee mbn ms low slow hivyo!
Miaka miwili anatakiwa aje hapa akiwa na wajukuu bana!
Kumbe Arovera ndio mumeoo khaa!!!!!!
Hahahahahahaha unekuja!
Nilikumisipo gwe!
Utashangaa anatafuta mwanaume mwingine
eti kajichumbia na kujioa...
Hee, miaka miwili yote nasubiri nini? Yani kesho yake tu naanzisha thread jf imenipa mume....
Kwahiyo hapo kashika Tecno 2, nyeusi na nyeupe
huku aro huku mom
Kumbe Arovera ndio mumeoo khaa!!!!!!
Kumbee hii kalii ngoja tuone movieee
Hee, miaka miwili yote nasubiri nini? Yani kesho yake tu naanzisha thread jf imenipa mume....