City hunter j
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 926
- 380
Habari!,..
Nina Furaha Sana sanaaa na Naishukuru kipenzi changu Jf!!.Imenipatia Mme Kipenzi,laazizi anaejua nini thamani ya mwanamke!!.anaejua kujali na kupenda kweli...najisikia kupendwa,najiona mwenye bahati sana.
trust me,jf kuna wanaume wazuri sana waojua kupenda na kuwa na relationshp nzuri!!.
to yo >hubby najua umepasoma hapa,nataka ujue i love u more than yesterday..ur the reason i smile everyday,ur special hubby,love me more nizidi kupagawa!!.
mahaba ninyongeee mieeee!!,nikafie mbali kwenye kifua cha @_____ __,love u nyang'anyang'a!!.
mnaotafuta hapa wapenzi,msijali mtapata tu,na mlopata hongereni! lolz.....
thanx hubbit0!
thanx hubbit0!
love you , tumekuja wanafiki endeleeni sasa
leo mmetongozwa
kesho mmelalwa
kesho kutwa mmefiwa
jana mlitaka kuanzisha saccoss ya wapweke
juzi kati mahb sijui kufanyaje!
kheeeeee na mnawatoa wapi wanaume wasiowakunja vizuri mkawa na akili hata za vicoba?
Hahahaaaaaaa! Waniumiza mbavu mie!Mlikuwa mnapiga cha fasta?
Hahahaaaaaaa! Waniumiza mbavu mie!
Mmejaribu kuvunja maloveee ya Lara1 na Matola mmshindwa mnataka kuvunja ya kwetu hamtoweza na wanafiki nyote tumewachora tu, kwa niaba ya my wife napenda kuwashukuru mliotutakia heri katika safari yetu ya maisha nasema asanteni sana.
Hahahahaha daaa jf yatoshaaa!Mmejaribu kuvunja maloveee ya Lara1 na Matola mmshindwa mnataka kuvunja ya kwetu hamtoweza na wanafiki nyote tumewachora tu, kwa niaba ya my wife napenda kuwashukuru mliotutakia heri katika safari yetu ya maisha nasema asanteni sana.
Daaaaa umenichekesha sana Kongosho!kuwa na simu 2 unachat kote kote raha, unajitumia barua kama Mr. Bean.
ndo tumekuja....wapi honey wangu wa moyo,aloshikilia mishipa yangu ya damu hadi ya fahamu Arovera bby,nakupenda hatar hatar