hongera keep us updated in next 2 yrs about ur lovely affairs development,,,cheersHabari!,..
Nina Furaha Sana sanaaa na Naishukuru kipenzi changu Jf!!.Imenipatia Mme
Kipenzi,laazizi anaejua nini thamani ya mwanamke!!.anaejua kujali na
kupenda kweli...najisikia kupendwa,najiona mwenye bahati sana.
trust me,jf kuna wanaume wazuri sana waojua kupenda na kuwa na
relationshp nzuri!!.
to yo >hubby najua umepasoma hapa,nataka ujue i love u more than
yesterday..ur the reason i smile everyday,ur special hubby,love me more
nizidi kupagawa!!.
mahaba ninyongeee mieeee!!,nikafie mbali kwenye kifua cha @_____ __,love
u nyang'anyang'a!!.
mnaotafuta hapa wapenzi,msijali mtapata tu,na mlopata hongereni!
lolz.....
wa jf humpendi kama marehemu... na akijua kama unataka kuchora tatuu ya ex marehemu wako atapunguza mapenzi. wa jf ndo alikupa cha fasta nini??? haha hah much congrats.
Best mbona wamtangaza mwenzio kwa hubby wake?
Best mbona wamtangaza mwenzio kwa hubby wake?
Best mbona wamtangaza mwenzio kwa hubby wake?
mpwa hapa saa hizi humpati hapa hata kwa viboko, maana pale sadaka za leo hata tff hawaoni ndani.
my love nimemblock access ya kuingia humu mpaka atoke church.
haha mpwa wako najua nitakapomkamatia turn
Jf full malovee, ye umemblock halafu we upo huku hujaenda church??
Umemjibu kiupole hadi huruma! Jukwaa limevaa b*&kin+
Sio Arovera,ni ke halafu mrembo kweli!