Nakupenda Jf! Umenipa Hubby~love!.

Nakupenda Jf! Umenipa Hubby~love!.

am hapi 4 u ila so soon ushajua ndio hubby wako?i pray u wont get hurt,ol da best
 
Mom Fay pls maneno haya ya matumaini muambie DEMBA!!
Hapa MMU tupo wanaume wa haja kabisa bana
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi hata part time wanaitwa hubby? Kweli jf kisima cha burudan

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
wa jf humpendi kama marehemu... na akijua kama unataka kuchora tatuu ya ex marehemu wako atapunguza mapenzi.
 
wa jf humpendi kama marehemu... na akijua kama unataka kuchora tatuu ya ex marehemu wako atapunguza mapenzi. wa jf ndo alikupa cha fasta nini??? haha hah much congrats.
 
Habari!,..

Nina Furaha Sana sanaaa na Naishukuru kipenzi changu Jf!!.Imenipatia Mme Kipenzi,laazizi anaejua nini thamani ya mwanamke!!.anaejua kujali na kupenda kweli...najisikia kupendwa,najiona mwenye bahati sana.

trust me,jf kuna wanaume wazuri sana waojua kupenda na kuwa na relationshp nzuri!!.

to yo >hubby najua umepasoma hapa,nataka ujue i love u more than yesterday..ur the reason i smile everyday,ur special hubby,love me more nizidi kupagawa!!.

mahaba ninyongeee mieeee!!,nikafie mbali kwenye kifua cha @_____ __,love u nyang'anyang'a!!.

mnaotafuta hapa wapenzi,msijali mtapata tu,na mlopata hongereni! lolz.....

hivi kweli umepata?na mim natafuta mke bhana
 
Mhhhh huyu mom fay si ndo ana mpenzi wake wa bongo movie au...
 
Back
Top Bottom