chipaka.com
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,883
- 1,195
Zeleheba
Hahaha, kwanini kamanda Ivuga?Haha afu wewe jamaa huu uzi wako .. Nimeupenda
Nimecheka sana tu koment za vijana hawa ha ha ha !Hahaha, kwanini kamanda Ivuga?
Ni hatari, ..hii ndio jf halisiNimecheka sana tu koment za vijana hawa ha ha ha !
Sina mali za kuwafanya majambazi kunijia na bunduki.Hii kitu sio ya kukejeli hata kidogo, zile mashine walizochukua unadhani wataenda kuulia panya?. Polisi wetu mimi bado ninaimani na ninyi, fanyeni hima zile silaha mzirudishe mikononi mwenu.