Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,372
- 12,479
Kuanza kuchangia mada kwenye nyuzi za wapuuzi ni ujanja second class.acheni ukubwaKufurahia mauaji ya polisi na kufanyia mzaha ni upuuuzi first class. Acheni utoto
Indee! hapa ni rorho za watu wane wamepotea. Ni ujinga na ukatili wa hali ya juu!Kufurahia mauaji ya polisi na kufanyia mzaha ni upuuuzi first class. Acheni utoto
Kufurahia mauaji ya polisi na kufanyia mzaha ni upuuuzi first class. Acheni utoto
unoko
unoko
unoko
Indee! hapa ni rorho za watu wane wamepotea. Ni ujinga na ukatili wa hali ya juu!
'kweli'Sema kweli?
Japo ni jambo la huzuni lakini unapokutana na komenti kama hii lazima uchekeInteresting.....
mh, wamekusikiaLazma kuwekwe utaratibu wa kuwapongeza na kuwazawadia wale wote tuliohudhunika na kulia kwa kuuwawa kwa askari wetu.