Nakupenda dear

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,751
Reaction score
63,051
mimi na wewe hadi kufa
 

Attachments

  • bonge.jpg
    35.8 KB · Views: 1,458
hapo cjui hata itakuwaje,kila moja yupo chart room.
 
Imekumbusha Jamaa yangu ambaye walitamaniana na Mdada kwenye dot com kama hivyo, ikafika siku wakapeana ahadi kukutana, wakakubaliana eneo la kukutana, wakifika wawasilaine kwa simu. Jamaa yangu alipofika akaweka cmu yake vibration na akakaa mezani, simu mfukoni aone kwanza Mrembo anayepiga, yaani aliyekuja na kumpigia ni mama ambaye ana umri zaidi ya mama yake (jamaa yangu), na kwa jinsi walivyokuwa wametamaniana na kuwahidiana kupendana na kupeana raha za utu uzima, bado jamaa yangu hakudiriki kutoa simu mfukoni mpaka yule mama alipoondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…