Du! mi nshakuwa rude mara kibao tu......
asante ndo jibu langu na hakuna kuongezea nyama wala nini..... naishia hapo na kama inawezekana nachapa lapa
nakupenda kwa mara ya kwanza kutamkwa na mtu, ni wazi kwamba inajibiwa kwa neno 'Asante'. kisha waweza kuongeza vijimaneno kama asante kwa upendo wako kwangu.namna hii humfanya mtu awe na atleast amani ya kupokelewa kwa moyo wa shukurani.
kwa mtu ambaye mmezoeana vile mwenza ama bf asemapo nakupenda ni wazi kwamba wewe unayeambiwa unatakiwa uwe na feelings juu ya upendo wake kwako kwa wakati huo. yaani atamkapo neno ama maneno haya yafungue mlango wako wa fahamu uone unapendwa na kuna mtu anakujali hivyo lazima umjibu 'nami pia nakupendwa mpenzi wangu' namna hii ya majibu huuisha mapenzi na furaha kati yenu.
hahahahahah! hivi wajua nini kinachorudisha amani ndani pale inapotoweka??Hata bf au mume kuna siku anapata asante tu
Wanamme wana viranga, anakuudhi makusudi afu anakuja na 'nakupenda' hamsini kidogo na mshedede kashikilia mbele kama 'award' ya nini sijui, unampiga na asante tu.
labda ninabidili neno, unakuwa humpendi vile atakavyo ya kibaba na mama.
Sasa hutaki kuonesha umedharau hisia zake ama hujali, simply unataka ajue hauko ukurasa mmoja na yeye.
ni kweli mtu kukupenda sio hatia pia so ni vizuri kuwashukuru watupendao hata kama hatuewezi kuwafeel!Kutokuwa na feelings za mapenzi ni tofauti na kumchukia mtu. If that was the case naona maadui tungekuwa nao wengi sana. Na ndio maana asante ni jibu sahihi.
Hivi hii series ya Zombie vs Kongosho, tupo episode ya ngapi?
Du! mi nshakuwa rude mara kibao tu......
asante ndo jibu langu na hakuna kuongezea nyama wala nini..... naishia hapo na kama inawezekana nachapa lapa
ahaaaa HIVI WEWE NI MWANAMKE ?Hata bf au mume kuna siku anapata asante tu
Wanamme wana viranga, anakuudhi makusudi afu anakuja na 'nakupenda' hamsini kidogo na mshedede kashikilia mbele kama 'award' ya nini sijui, unampiga na asante tu.
ha haaa, hiyo imo mara nyingi tu mbona..........Hata bf au mume kuna siku anapata asante tu
Wanamme wana viranga, anakuudhi makusudi afu anakuja na 'nakupenda' hamsini kidogo na mshedede kashikilia mbele kama 'award' ya nini sijui, unampiga na asante tu.
ha haaaa, wewe babu achana na small boy, lol!Next time malizia basi....
Kama ni small boy....sema hivi..."ahsante sana my little brother..."
Naamini wataendelea kukuelewa tu!
Hivi huwa napata kigugumizi kidogo kutoa jibu sahihi.
Mtu anakuambia 'nakupenda', unamjibu 'asante'
wengine huwa wanalalamika kuwa ni 'rude' kujibu asante. Sasa najiuliza jibu sahihi ni lipi?
Je, ni bora kujibu 'nakupenda pia' hata kama si kweli? Huwa naona sio fair kujibu nakupenda kama simaanishi hasa napoona anayesema ana vichembe vya ukweli hata kama ni .0001%
hivi jibu sahihi la nakupenda kama ww humpendi huyo mtu ni lipi? Ili usionekane rude.
(for King'asti only, daym, hivi inawezekana kubalehe wakati wa menopause?)
ni kweli mtu kukupenda sio hatia pia so ni vizuri kuwashukuru watupendao hata kama hatuewezi kuwafeel!
i lolike u babuNext time malizia basi....
Kama ni small boy....sema hivi..."ahsante sana my little brother..."
Naamini wataendelea kukuelewa tu!
ha haaa, hiyo imo mara nyingi tu mbona..........
kuna nakupenda nyingine zinakuja muda si wake....... kama ka-bribe fulani hivi...... hiyo ukiwa nafuu kidogo unaitwanga na asante, lakini ikikukuta mwezi mchanga unaitwanga na "Really!"
mtu hatakupenda tu hivi hivi babu kama wewe?Hivi kwani mnakimbilia kwenye feelings zaidi au ni ulevi wa vile vitunda pori??
Babu DC!!
Nafikiri ni ulimbukeni tu.....wengi hawajui maana ya Kupenda na Kutamani...... unampa demu ofa kwa mara ya kwanza alafu wakati mnaagana anakuambia I love u.........