Nakupenda. . .Asante!!


babuuuuuuuuu........................
FP kimeeleweka?
 
Last edited by a moderator:
Umenikumbusha mbali sana, 19998 nilifanya pilot ya mradi mmoja hapo Sangabuye, Nyafula, kayenze kwa waarabu

Ndio, nimekaa sana pale shule ya msingi Sangabuye
 
isijekuwa tunafahamiana.

Nakukimbia maana hata mie nilifanya pilot study pale.

Umenikumbusha mbali sana, 19998 nilifanya pilot ya mradi mmoja hapo Sangabuye, Nyafula, kayenze kwa waarabu
 
kama huna hisia nae unamtel akampende mama ake!

or in other way nakupenda^^^^ ohh great!
 
Yawezekana, maanake ya Mungu mengi.

Sisi pilot yetu tulifanya ktk shule zote za kata ya sangabuye, kwani na wewe ni mwaka huohuo '98

isijekuwa tunafahamiana.

Nakukimbia maana hata mie nilifanya pilot study pale.
 
Wee, naogopa utanijua

Sisemi ng'o, he he he nilivyo kizee
Ukute wewe ndio mabinti tuliokuwa tunawatuma tuma maji?

Ilikuwa Nimr? Amref au Tanesa?

Yawezekana, maanake ya Mungu mengi.

Sisi pilot yetu tulifanya ktk shule zote za kata ya sangabuye, kwani na wewe ni mwaka huohuo '98
 

nipo mwaaaaaaaaaaaaaaaalim
 
Aah aah aah.... kongosho bhana, hata mimi ni mzee sasa, hiyo '98 ndo kwanza nilikuwa bado binti
wewe nitakufahamu tu, lkn pia ni vizuri kufahamiana, tutahama hapa tutaenda kwenye PM kongosho,

Mi nilikuwa Amref mradi wa MKV

Wee, naogopa utanijua

Sisemi ng'o, he he he nilivyo kizee
Ukute wewe ndio mabinti tuliokuwa tunawatuma tuma maji?

Ilikuwa Nimr? Amref au Tanesa?
 
kwa hiyo mme na mke lazima umjibu 'nakupenda' hata kama kwa wakati huo hujisikii hivyo?

Umjibu tu kwa PR reasons?

Je kwa mtu anayenyemelea mahusiano ni fair kusema asante?
ukisema asante na huku humpendi unakaribisha usumbufu sababu ataona urahisi fulani,jibu ni kwamba asante kwa kunipenda ila mimi sikuchukii.
 
Hivi kongosho manake si LIVER!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…