haya jamani mimi nimeamua kukaa kimya (natamani kusema najilia vyangu kimya kimya lakini siyo kweli, lol!)
endeleeni kuniandama na huyo babu ambaye hata akiona tabasamu langu moyo haumdundi.... kwa jinsi alivyostaafu, lol!
cc. Kongosho, snowhite, Kaizer, Paloma, na mtu mzima mwenzangu tunayeelewana sana Dark City
Umeanza lini mambo ya kumvunjia heshima Babu??
Naona uvumilivu umefika kikomo sasa.....
Babu DC!!
aaah Mkuu mwenzangu siye tena? hii ni explanation tu heshima ya babu ipo pale pale....tuna appreciate uwezo wa babu kucheza na wajukuu zake
unaweza kuwa na feelings na mtu kama humpendi? mi nachojua unaweza kuwa na upendo na mtu ila usiwe na feelings zake
haya jamani mimi nimeamua kukaa kimya (natamani kusema najilia vyangu kimya kimya lakini siyo kweli, lol!)
endeleeni kuniandama na huyo babu ambaye hata akiona tabasamu langu moyo haumdundi.... kwa jinsi alivyostaafu, lol!
cc. Kongosho, snowhite, Kaizer, Paloma, na mtu mzima mwenzangu tunayeelewana sana Dark City
tena wa kuogopwa sana
ana kiranga mno.
shikamoo babu Selestini!Kwani kaandika nani?
Kama kaamua kujifurahisha kama wewe unavyotumwaga na bange zako nitamzuia mie.....??
Habu acheni mambo yenu ya ukosefu wa heshima kwa wakubwa...
Babu DC!!
babu kaa chini unywe maji yakolee...Kwani kaandika nani?
Kama kaamua kujifurahisha kama wewe unavyotumwaga na bange zako nitamzuia mie.....??
Habu acheni mambo yenu ya ukosefu wa heshima kwa wakubwa...
Babu DC!!
Kwani kaandika nani?
Kama kaamua kujifurahisha kama wewe unavyotumwaga na bange zako nitamzuia mie.....??
Habu acheni mambo yenu ya ukosefu wa heshima kwa wakubwa...
Babu DC!!
Asante ni jibu zuri sana na sioni kama lina tatizo ila tatizo liko kwa mpokeaji anategemea akitongoza aambiwe ''yes'' au matusi basi ukiwa mstaarabu kwao kero.Hivi huwa napata kigugumizi kidogo kutoa jibu sahihi.
Mtu anakuambia 'nakupenda', unamjibu 'asante'
wengine huwa wanalalamika kuwa ni 'rude' kujibu asante. Sasa najiuliza jibu sahihi ni lipi?
Je, ni bora kujibu 'nakupenda pia' hata kama si kweli? Huwa naona sio fair kujibu nakupenda kama simaanishi hasa napoona anayesema ana vichembe vya ukweli hata kama ni .0001%
hivi jibu sahihi la nakupenda kama ww humpendi huyo mtu ni lipi? Ili usionekane rude.
(for King'asti only, daym, hivi inawezekana kubalehe wakati wa menopause?)