Dah kuna MTU huyo yani ye in kila SAA ilikuwa I love u ukimuliza upo wapi atkujibu
Nipo home I love you,
Ukimwambia pitia basi hapo dukani nletee mafuta ya nywele utaskia
Haya beby I love you
Good9t basi tena utaskia
You too i love you
Khaaa kunchoshaga miye"!!!!!
Nimecheka sana! Kuna siku (nilikuwa seminar morogoro, yeye nilimuacha DSM) nilimwambia yf hivi: Dear habari za mchana, I love you! Mungu wangu, zilitiririka sms za ghafla kama 50! Moja tu ndio niliielewa, zilizobaki hata sikuzielewa!