Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,935
- 5,558
Kuna demu nlikuwa nampenda siku nyingi akawa ananileta pozi nkachukua mwingine nkaenda naye ofisi kwako wana mgahawa wa chakula ..tumemaliza kula tukaondoka imepita muda wa miezi miwili sasa nlikuwa nimesafiri kikazi ndo nimerudi yle demu amenitumia sms anataka kuonana na mm je mkubalie mkamchinje au mpotezea huenda ana lake jambo na demu wangu ananipenda sana tatizo huyu demu ananisumbua sana naombeni msaada wenu wakubwa zangu ntashukuru kwa watakao nisaidia .