LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 519
Alisikika rafiki yangu wa karibu kabisa akisema maneno hayo! Ni Mtu wa makamo tu kama miaka 35 hivi, Kasema yaani siku hizi anaweza akakaa hata mwezi na nusu au zaidi hana hamu ya ku do na mkewe isipokuwa hawara yake tu! Naye bado anampenda mke wake ishu inakuwa ngumu kufanya nae mapenzi sasa afanyeje? mi nimemwambi sio busara sijui wadau mnasemaje! No abusive language plz!
Keshawekewa na hawara yake ndo maana anampenda sana. Chezea hawara, wewe unafikiri ni wa temporary, yeye anajifikiria ni wa permanent. Amuombe mkewe amwondolee hilo libwata alilopewa na hawara yake.