asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Ushadhamiria weye,Nenda kamalizie tu!!
aaaaaaaha bestiiiiiiiiii!!!!!!!!
habari yako , mimi nakusalimia tu.
Ushadhamiria weye,Nenda kamalizie tu!!
Hizi ndoa hizi, hizi ndoa....
hivi hamuwezi kuvituliza vidudu vyenu????
mke kasafiri wiki tu unawaza kufanya akiumwa mwezi je?
Hii insfanana na yule jamaa aliyekwenda mtafuta mke wa mtu Moro kisa zamani walikuwa wapenzi.
Mke wa mtu akamwambia jamaa mwaka wapili natumia ARV,sasa eti jamaa akalia kwa uchungu
Si ndo maana nimesema vidudu,Vipi mbona humzungumzii huyo mke malaya anayelazimisha kupewa dushulele lisilo la mume wake?
Hizi ndoa hizi, hizi ndoa....
hivi hamuwezi kuvituliza vidudu vyenu????
mke kasafiri wiki tu unawaza kufanya akiumwa mwezi je?
Si ndo maana nimesema vidudu,
ningekuwa sijamsema ningesema kidudu
mke kasafiri wiki tu unawaza kufanya akiumwa mwezi je?
UPDATE:
wakuu dakika 3 zilizopita yaani ilikua saa 3:07 amenipigia tena simu kutaka kujua kua nitaenda au laaa nimemuambia kua nimetoka na nitachelewa kurudi kaniambia hata nirudi saa 6 usiku basi niende na nisipoenda basi atajua yeye la kufanya
Yaani niko home kwangu nimeshajibwaga kitandani kupuuzia huu mchezo mchafu niombeeni nisikose ujasiri
Wakuuu habari zenu?
Natumai muwazima wa afya?
Si zamani sana niliweka ukumbini kua mke wa mtu ambaye alikua ni x wangu ananisumbua kwa kutaka tuwe wapenzi na kibaya sote tuko katika ndoa na familia pia mimi niko na watoto 2 yeye anao 4.
Ni muda wa nusu saa uliopita yaani ilikua ni saa mbili kasoro dakika 5 za usiku huu nimepokea simu kwa namba ngeni ikiniomba niilipie kwa kuwa yeye hana salio nilipuuza ila alipiga zaidi ya mara 3 nikaona ngoja nimpigie isijekua ni mame chanje (my wife) kupiga nakutana na sauti ya x wangu baada ya salamu aliniambia hivi "mahiri najua mke wako hayupo hii ni wiki ya tatu hadi leo nimeulizia nikaambiwa hajarudi nakuhitaji usiku wa leo saa 4 uje kwangu na jiandae kulala kwangu unipe kitu nilichokikosa kwa miaka kadhaa nakuomba usinikatalie japo kwa leo tuuu halafu ukiwa hutotaka kuendelea nami nitaheshimu maamuzi yako na kukuacha uishi salama na familia yako"
Ni kweli kabisa wife hayupo na hali hii ya mawingu inanipa shida sana na najua kua nae mume wake ameenda msibani hawezi kurudi kwa wiki hiii.
Akili inaniambia nipashe kiporo hichi ila najua kua nikipasha kiporo kitaniganda.
La zaidi ni kua namuogopa mungu nitamjibu nini siku tukikutana kwa kulala na mke wa mtu najua hata nijifiche vipi mungu ataniona.
Jamani ushauri wenu
Waambie wenye ndoa....acha hizo wewe......
hebu tulizaneni kwenye ndoa zenu , acheni mashindano na mapepo.
Acha ku-endekeza ujinga, funga milangi yako lala hakuna kwenda kwake na akija kwako usimfungulie
ndoa za sahizi ni sawa nakupuliza moto kwenye kuni isiyokauka