Nakuomba leo moja tulale wote........

Nakuomba leo moja tulale wote........

Update:

Hadi muda huu wa saa 4:30 nashkuru mungu kuniwezesha kuikwepa zambi ya zinaa na mungu aendelee kunilinda na anipe subira kwani bado majaribu ya huyu bint yanaendelea amenipigia simu kwa kejeli ila mi nilikua kimya ishaala km mungu alivyonilinda jana aendelee kunilinda.

Namshukuru mungu kwa wale waliokua pamoja nami kunipa ushauri na wale walionikejelibpia nawashkuru kwa kunifanya niwe na yakini.
 
Si umblock?
Au acha kupokea simu zake wala kumjibu msg
 
Acha ku-endekeza ujinga, funga milangi yako lala hakuna kwenda kwake na akija kwako usimfungulie

Hahaha umemjibu kwa ukali, lol. As if inasaidia!

Kwa nini umeiba mawazo yangu King'asti?

Ukimsoma vizuri mshikaji alishaamua liwalo na liwe......

Otherwise, issue sijui ya mke wake kuwa nje kwa wk 3 au mume wa yule mwingine kuwa kwenye msiba isingekuwepo.

Wote tunao wadau wa zamani na wengi wanadai kupata wasaa wa kujikumbushia.....ila mtu aliyekwishaamu kusema NO, itabaki kuwa ni NO. Hakuna chance ya kuwa lukeworm water!

BTW....kila mara nawambia watu kuwa Wazee wetu walikuwa na busara kuzuia mambo ya kuonjana onjana kabla ya ndoa. I wish it were possible to go back to those sweet old days!
 
Last edited by a moderator:
Babu, wanasemaga 'advice is what we ask for when we know exactly what we ought to do, but we dont wanna do'

nilishamstukia toka mbali hahaha.

basili tania tatizo hatumii no yake ya simu anaju aitopokea ila anatumia za watuu yaaani mara zote hizo ananipigia kwa no tofauti nadhani ni za vijari wa hapa mtaani
 
Kwani wewe msimamo wako ni upi?

Halafu kutoka ndani ya moyo wako, hauko juu ye fence kweli?
 
Babu, wanasemaga 'advice is what we ask for when we know exactly what we ought to do, but we dont wanna do'

nilishamstukia toka mbali hahaha.

Ndo hapo sasa...

Mzima lakini wewe??

Huku baridi inaanza kusumbua.....

Mambo ya birthdays nyingi kuwa kati ya December na February yameanza.....Wenye meno lazima wakavunje mifupa!
 
ha ha ha ha ha

na ukipatafakari ndiyo panapohusika bestiiii.........

hivi jamaa ameshaleta mrejesho usiku uliishaje?

Hahaaaaa!!
Anadai alifanikiwa kumshinda "shetani" eti baada ya kumdanganya bint kuwa ametoka.

Hivi mwanaume anashindwaje kumwambia bint sitaki na sitakuja kwako? Unalazimishwaje mahusiano usoyataka tena na mke wa mtu? Mi sielewi best!
Wanaume wa siku hizi!!
 
besti muwe mnatusaidia kutembeza vibuti wanaume wenu......
 
Update:

Hadi muda huu wa saa 4:30 nashkuru mungu kuniwezesha kuikwepa zambi ya zinaa na mungu aendelee kunilinda na anipe subira kwani bado majaribu ya huyu bint yanaendelea amenipigia simu kwa kejeli ila mi nilikua kimya ishaala km mungu alivyonilinda jana aendelee kunilinda.

Namshukuru mungu kwa wale waliokua pamoja nami kunipa ushauri na wale walionikejelibpia nawashkuru kwa kunifanya niwe na yakini.

hongera kwa kuikimbia dhambi ya uzinzi, hakika umemshinda shetwain na malaika zake waovu. Ila Jaribu kumlinda mkeo na maradhi ya kuambukiza, huwezi kujua huyo dada amebeba nini, huwezi kujua Ana makusudio gani. Kama anasumbua Sana block namba yake maisha yaendelee..

Dhambi ya uzinzi Ni ngumu kushinda, asikwambie mtu, naamini usiku hukulala kwa amani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom