Nakumiss Mangwea

Dejane

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
49,439
67,945
Leo nimemmiss huyu mkaka, popote aliko ajue nimemmiss na tunamiss nyimbo zake nyingi tu. Sikupenda ufe Mangwea nilikua shabiki wako kufa jamani ulikua unanichanganya akili ukinichania mistari yako. Jamani ardhi inameza, Ngwea nilikua namkubali alinifanya nipende hip hop nipende free style.

Popote ulipo i miss you, upumzimke salama na hayo madawa yaliyokuua Mungu anayaona.

1474673042557.png


1474673051335.png


1474673058785.png


1474673075825.png


1474673096745.png
 
''Wameishiwa cha kuongea wamebaki kumdiss Ngwair, na hata nikifa leo pengo

langu halina spea coz mi ndo mimi na hatuwezi kuwa pair, so nageuka Mc Regan nawaambiaa Endeleeeaaaa''

[HASHTAG]#120[/HASHTAG]
''Wapi ilipo bata, wapi leo kinaeleweka, na pesa mingi mpaka natamani jiteka, watu wapo bling ding stone ka jamaica''
 
Ni albert aka ngwea mi simple man
sio bitozi sio braza man nasisitiza
hii club sio bishoo na ninapofanya
show kazi yangu nikuflow..usishangae nisipofanya na mastage show waulize hao mabitoz kujipodoa hawaoni soo mwishow
watakuja kata viuno stegin ka ray
c ...tunazimiana na mademu wengi
popote kuspendi au kisa hatupigi show na live band

 
"Usiponiona ujue nshatambaa,
nshasafiri yan niko mbele tu nasaka mahela"
 

Similar Discussions

15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom