Nakumbuka.........

hahahah......we ndo basi kabisaa!! Mie nakumbuka lakini kuviandika ndo issue......nisijechapia nikaandika visivyosomeka lol!!

ng'wanike sema tu wataalam wa lugha watakurekebisha
 
Kitu Hidaya cha pepe kale hakuna ubishi kila mtu kilimshika, wacha nidondoshe baadhi ya mistari kwa wale wasioujua wimbo huu;

...nimepoteza mpenzi wangu nchini Tanzania, kama kule Arusha, sijui, kama kule Mwanza na Dar es salaam, jina lake ni Hidaya...
...nitarudi, nitarudi, kwa ajili, ya Hidaya..
...shikamoo marahaba, shikamoo marahaba..

Jamani ee msisahau na kitu RDC cha Wenge BCBG.
 
Jaman mie enzi za Bongoman ndio nilikua natambua mambo ya mziki,mama yangu alikua ananifunga kitamba kiunon na kunifundisha kukata mauno na mwendo wa kwasa kwasa lol!na mie wa enzi atiii!
 
Jaman mie enzi za Bongoman ndio nilikua natambua mambo ya mziki,mama yangu alikua ananifunga kitamba kiunon na kunifundisha kukata mauno na mwendo wa kwasa kwasa lol!na mie wa enzi atiii!
Hahahaaa shem kumbe nawewe ni wa enzi la Muzinaaaaaa
 
pamela nkutha wacha weeh.
Dolly patorn coat of many colour
Diana king tenderness.
Funiko bovu wakati nipo TRDC agriculture iringa huko kitu USA for africa we are the world tunaangalia kwenye sinema.
 
hahahah......we ndo basi kabisaa!! Mie nakumbuka lakini kuviandika ndo issue......nisijechapia nikaandika visivyosomeka lol!!

hiyo id yako imenikumbush piipiii...muv zat wei ni.....
 
Hahahaaa shem kumbe nawewe ni wa enzi la Muzinaaaaaa

Hahaha!muzinaaaaa ilichelewa nahic wakati inakuja nilikua fom 1 au la 7 km ckosei!ila enzi yangu napata akili na kucheza mziki ni enzi ya bongo man!
 
Hahaha!muzinaaaaa ilichelewa nahic wakati inakuja nilikua fom 1 au la 7 km ckosei!ila enzi yangu napata akili na kucheza mziki ni enzi ya bongo man!
Hivi Muzina ilikuwa popular kabla ya Kanda Bongoman ama zilitoka/kuwa popular wakati mmoja?

Halafu kuna ile ilikuwa inakwenda..."Aaaaah **** teelee, uko Tazara, **** teleee! Huko Tazara, dogo dogo nyingi"Duh! bongo bana teh teh teh!
 
ng'wanike sema tu wataalam wa lugha watakurekebisha
Musimo Jr, kweli tulikuwa tukii enjoy, lakini maana halisi ya maneno hayo wengi wetu hatujui.

But nilifanikiwa kujuwa kuwa bolingo ni mapenzi, mbongo ni pesa, mwasi kitoko ni "mtoto mzuri" etc etc.
 
Hapana wenge waligawanyika kukawa na BCBG wenge Paris kabla ya kuendelea kumomonyoka baadae

unakumbuka bongoman alivyozua tafrani kenya na hapa kwetu mzee mwinyi akaacha mggomo wa madaktari muhimbili akaenda taifa kumwangalia bongoman
Kanda alipiga kitu ya baba Moi, ilikuwa inafanya kwenye mojawapo ya TV za hapo Kenya, mrembo kiaina.

Noma ikawa juu ya noma wakati Kanda alipovuta nyomi ya nguvu kwenye show yake, Moi alikuwa na mkutano at the same time, mkutano wake uka doda, watu wote wako kwa Kanda, akampa Kanda masaa 48 kama sikosei aondoke Kenya kwa madai kwamba ni hatari kwa usalama wa Kenya!lol!
 
Hivi Muzina ilikuwa popular kabla ya Kanda Bongoman ama zilitoka/kuwa popular wakati mmoja?

Halafu kuna ile ilikuwa inakwenda..."Aaaaah **** teelee, uko Tazara, **** teleee! Huko Tazara, dogo dogo nyingi"Duh! bongo bana teh teh teh!

Hahahaha!ilianzaga hinde mon ya bongo man mda mfupi ndio ikaja muzinaaaaaa!dah ilikuaga raha sn!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…