Nakumbuka zamani tu wadau. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nakumbuka zamani tu wadau.

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ndibalema, Aug 25, 2010.

 1. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Akina siye...............

  [​IMG]


  Watotot wa Vizito............

  [​IMG]
   
 2. E

  Edo JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mkuu huyo wa chini mbona mzungu?
   
 3. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Huyo mtoto mweusi anaelekea kuelemewa na uzembe wa wazazi wake. Shingoni cheni la kiasili, dogo juu mkubwa chini miguu yaelekea kukosa nguvu kabisa na wala haonyeshi nia kutaka kujifunza kutembea sijui ndio wamembemenda!!!:confused2::mad2::confused2:
   
 4. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  labda wa sarungi, nasikie mkewe ni mzungu wa urusi
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kuna tofauti nilitaka muione.
   
 6. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kweli unakumbuka kale,siku hizi havipo tena hivyo kila mtu anataka hivyo vya plastiki kutoka china.
   
 7. D

  Dick JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wa chini ananing'inia kama popo, wa juu pekupeku makanyagioni.:playball:
   
Loading...