Nakumbuka Mkapa na Kikwete walikuwa na Washauri wa Uchumi na Siasa lakini Magufuli hakuwa nao. Upi mfumo Mzuri?

Wakati wa Mkapa Kanali Nsa Kaisi na mzee Kingunge walikuwa Washauri upande wa Uchumi na Siasa

Awamu ya Shujaa Magufuli sijawahi kusikia kama ana Washauri ama wa Uchumi au hata Siasa

Naomba kuelimishwa umuhimu wa hawa Washauri

Eid mubarak!
Washauli wa magufuli na mkapa walikuwa vizulisana
 
Sisi Ma Genius Huwa tunakawaida ya kuamin vichwa vyetu tuuu , ndio Sababu hata kiutawala/kiuongozi, Huwa tunatumia aina ya Udikteta , yaan unaamin Kichwa chako ndio sahihi .
 
Wakati wa Mkapa Kanali Nsa Kaisi na mzee Kingunge walikuwa Washauri upande wa Uchumi na Siasa

Awamu ya Shujaa Magufuli sijawahi kusikia kama ana Washauri ama wa Uchumi au hata Siasa

Naomba kuelimishwa umuhimu wa hawa Washauri

Eid mubarak!
Wote hao Samia ame wa outperform na pia nyakati zinabadilika
 
Back
Top Bottom