Nakulaani Manka! Ulinifilisi bila tone ya huruma

Nakulaani Manka! Ulinifilisi bila tone ya huruma

Yote tisa ila nawakumbusha
IMG_20220305_113134.jpg
 
Upuuzi tu.
Lini mwanamke wa kizungu awe mnyenyekevu? Adanganye wajinga..hao nawajua mwanzo mwisho.
Ukizingua anakuzingua zaidi.
Kule ar tumethibitisha wazungu wako serious
 
Aya wakuu real app ya kupiga pesa kwa watu seriously tu join via Vodacom number ,Kama utakua na swali pm mm app ni Vue App
 
Hii ni historia ya jinsi nilivyokutana na huyu Mchagga na kilichoendelea mpaka kufilisika vibaya.

Wengi humu JF mmekuwa mkinichukulia mtu asiyeeleweka na masikini mno. Hasa baada ya kusema nilikusanya 8000 kwa karibu miezi minne kwa kusave sehemu ya hela nilizopata(sio uongo ni kweli nili save na nauza karanga kwa sasa). Hiki ndicho kilichonitokea,,
Kweli fasihi ni pana. Hongera Eric Shigongo
 
Hii story yako imenikumbusha miaka mingi nilifanya kazi katika mradi wa Afya ulisimamiwa na nchi za Ulaya. Boss wetu alikua mama wa Kizungu. Huyu mama ugonjwa wake ulikua ben ten wa Kiafrika.

Alimpata kijana mmoja alikua mpiga debe wa mabasi lakini alikua na sura ya kuvutia. Walioana na baada ya harusi walikwenda honey moon Jangwa la Kalahari.

Yule kijana ghafla akawa alwatan, alizaa nae watoto. Walijenga nyumba na alimuuliza biashara anayotaka kufanya, interest yake ilikua kwenye magari. Alimnunulia malori kama matatu hivi na alianza biashara.

Kila mwaka walikwenda kiangazi Ulaya, mpiga debe alipendeza na pamba za summer time. Tabia halisi ya mtu unaijua akipata pesa. Mpiga debe alianza umalaya wa A class, wale waliomdharau akiwa shule alihakikisha wote anawavua pichu na kufanya nao mapenzi kinyume cha maumbile ndiyo ikawa starehe yake.

Kuna mmoja walikosana baada ya kumuahidi binti atamfungulia biashara na baada ya kumla alimdiss. Yule binti alikodisha mbabe na kumuomba wakutate guest house, alimpa kilevi yule kijana na kuwaambia wahuni wamle kama anavyopenda kula vibinti vya watu.

Walirusha picha kwa Mzungu, Mzungu alifungasha virago na kurudi kwao. Alipoteza mawasiliano mazima.

Duh[emoji848][emoji848][emoji848]hiyo ni noma
 
Mwanaume aki lia lia tu kwa emoj namvalisha skirt
 
Hii stori inaweza hata ikawa ni kweli sijajua ni kwanini watu wanaona kama ni chai..

Mifano ya vijana wa kitanzania waliohongwa pesa ndefu na wanawake wa kizungu ipo mingi tu. Nenda sehemu kama Arusha vijana na vidread vyao wamefunguliwa makampuni, wana ma fleet ya land cruisers na majumba ya ghorofa so sioni cha ajabu.

Kama ni hiyo 500m labda mnaiona nyingi, kwa mzungu mwenye hela Tsh 500m ni sawa na dola/euro laki 2 tu.. sasa hiyo ni hela kwa tajiri?

Na kama unashangaa mtu kuhonga 500m, Idris huyo hapo wote tulimuona alivyoshinda bba. Ile hela si iliishia kwa wema yote? Sasa cha ajabu kinachofanya tuone huyu jamaa analeta mchaichai ni kipi?

Ukweli vijana wengi sana wanapiga hela kwa wazungu, kwenye madini, madawa nk na zote zinaishia kwenye mbususu na pombe.
 
Back
Top Bottom