Nakulaani Manka! Ulinifilisi bila tone ya huruma

Nakulaani Manka! Ulinifilisi bila tone ya huruma

Ww ungemtag huyo mchaga kwanza maan ni noma sana
Now nikimuambia mtu hawezi kuamini... Bado naumia sana, tena kilichofanya niache kumfuatilia yule mchagga ni kuwa watu fulani walinitonya kuwa ni kitengo, hapo nikaogopa mazima mpaka leo hii. Naye ni mara moja moja mno anakuja dukani kwake, ameweka watu kote. Ila yote maisha. Hata mama mzazi hajui issue hii ya 500M. Hata mia sijaambulia mpaka leo[emoji24]
 
Oya acha uboya alie chukua 500M ni mchaga au
Kama ni mchaga unajua kabisa jinsi ya kumpata unafeli nini sasa siku mfuate kariakoo mbele ya watu piga shambulio kisu panga risasi ambayo unajua hawezi pona halafu hata usikimbie baki waje kukuchukua tuu
 
Hii story yako imenikumbusha miaka mingi nilifanya kazi katika mradi wa Afya ulisimamiwa na nchi za Ulaya. Boss wetu alikua mama wa Kizungu. Huyu mama ugonjwa wake ulikua ben ten wa Kiafrika.

Alimpata kijana mmoja alikua mpiga debe wa mabasi lakini alikua na sura ya kuvutia. Walioana na baada ya harusi walikwenda honey moon Jangwa la Kalahari.
Zamani sana?
 
Naendelea:

Ikafika kipindi akanionya zaidi ya mara nne ila nilijirudi na kulia na kuahidi nitaacha mambo yangu, japo hakuwa na uhakika ila alikuwa ananihisi tu.

Mwaka 2017 alinipa 500M kwa ajili ya kujenga nyumba nzuri ya kifahari na kufungua biashara pale Kariakoo ya hardware.

Alifanya hivi ili watoto wakija huku wasipate shida kuishi maisha angalau yenye unafuu. Hela hii aliyonipa ilikuwa ni mgao aliopata baada ya baba yake kuuza nyumba moja ya nyumba zake.

So hela yote akanipa mimi. Siku moja wakati nimeenda kariakoo nilitokea kumpenda dada mmoja ambaye alikuwa mweupe mwenye shape kubwa.

Aliitwa Manka(sio jina halisi na alikuwa Mchagga). Tulianza mahusiano rasmi kwani hakuonesha ugumu sana.

Ile pick up ya mama nilimdanganya nikampa huyu Manka ili abebee mizigo yake pale K/Koo kwani alikuwa na frame zake tatu zimepangana. Hakuwa haba alikuwa na hela.

So mama akawa anachukua usafiri kwenda shamba. Ikumbukwe nilikuwa nimejenga jumba ndogo ya kawaida tu huku Tz kwa wakati huo.

Manka alijitahidi kunizoea haraka haraka na ndani ya muda mfupi tukawa tumeshazoeana sana.

Wakati huo wote mawasiliano na Linda yaliendelea kama kawaida na nikamdanganya nakamilisha ile mipango.

To cut long story short, nilimuambia kuhusu ile milioni miatano kwenye acc na akashauri nimpe aingize kwenye biashara.

Sasa sijui kilitokea nini akampigia Linda simu na kumuambia amuachie mume wake. Linda alichukia mno na akakata mawasiliano na mimi mazima, hakutaka kusikia kitu tena kuhusu mimi.

Niliumia mno ila nilijishangaa nikapotezea(nafikiri huenda aliniroga huyu Mchagga).

Baada ya kumpa zile hela mawasiliano yakaanza kupungua. Akawa anachelewa kupokea simu zangu na wakati mwingine hapokei kabisa. Hiyo ilikuwa 2017 mwishoni mwezi wa 12 hivi.

Mwisho mwaka 2018 mwanzoni kabisa akaniandikia msg ndefu akisema nisimfuatilie tena,,nikithubutu atanitengenezea kesi ya madawa ya kulevya.

Pia akasema hata hicho kijumba ningeamua ningekichukua ila nimekuachia.

Sikuamini, kwa mara ya kwanza nililia nikigumia kama mbwa, nililia kilio cha mbwa. Sitoisahau siku ile***

Maisha niishiyo sasa nafikiri huenda ni laana imechangia,,hakunidai chochote yule Mzungu. Sijawaona tena wanangu mpaka leo hii na sijui wanaendeleaje.[emoji24]

Manka bado yupo kariakoo na anaendelea na biashara yake. Hata dukani kwake nimepigwa marufuku kwenda.

Mpaka leo hii siamini kama 500m imekwenda kizembe hivyo najiona mjinga na najipa moyo huenda ni ndoto.[emoji24][emoji24]

Daaah[emoji24][emoji24][emoji24] ndani ya muda mfupi maisha yamenigeukia namna hii.

[emoji24][emoji24][emoji24]nimeamua ku share humu kupunguza uchungu, sijamuambia yeyote. Ila huyo Mchagga kama yupo humu, akisoma atanijua.

Mchana mwema[emoji24][emoji24]
Mimi huwa si mpenzi wa kuchangia jf hasa ikiwa ishu ni real na pia inahuzunisha.
Ila jinsi nilivyosoma tu huu uzi,nikaona haina tofauti na mbwa analetwa na mwenye mbwa then mbwa anamgeuka mwenye mbwa, mwisho wa siku huwa ni kutandikwa risasi then Mambo yanaendelea.

Tofauti yetu sisi wazungu ni kuwa huwa wanasoma na kufundishwa somo la uwekezaji, matumizi ya hela,na pia hata namna ya ku-deal kulinda uwekezaji wake na pesa yake popote alipo na nchi inasaidia, tofauti na sisi ngozi nyeusi tunazaliwa na kupelekwa shule ilimradi tu kujua kiingereza, mengineyo utajua wewe.

Na kwa kuwa katika maisha yetu japokuwa tupo blind katika maeneo mengi ikiwemo uwekezaji, matumizi ya fedha, taarifa mbali mbali za fursa,tukitoka kusoma shule basi hatupendi kusoma au kuendelea kujifunza,nk ndo maana yanatokea hayo maana washkaji ndo wanaweza determine namna ya kutumia hela yako. Pia uaminifu kiasi kwamba mtu anaweza toa hela zote hizo kisa mbunye tu.

We mshkji huna akili, Sana Sana pambana na hali yako.
Ila kama ulimpa hela kwa njia ya transfer au kutumia bank to bank unaweza pata hela yako
 
Oya acha uboya alie chukua 500M ni mchaga au
Kama ni mchaga unajua kabisa jinsi ya kumpata unafeli nini sasa siku mfuate kariakoo mbele ya watu piga shambulio kisu panga risasi ambayo unajua hawezi pona halafu hata usikimbie baki waje kukuchukua tuu
Nilitonywa zamani kuwa ni kitengo
 
Mimi huwa si mpenzi wa kuchangia jf hasa ikiwa ishu ni real na pia inahuzunisha.
Ila jinsi nilivyosoma tu huu uzi,nikaona haina tofauti na mbwa analetwa na mwenye mbwa then mbwa anamgeuka mwenye mbwa, mwisho wa siku huwa ni kutandikwa risasi then Mambo yanaendelea.

Tofauti yetu sisi wazungu ni kuwa huwa wanasoma na kufundishwa somo la uwekezaji, matumizi ya hela,na pia hata namna ya ku-deal kulinda uwekezaji wake na pesa yake popote alipo na nchi inasaidia, tofauti na sisi ngozi nyeusi tunazaliwa na kupelekwa shule ilimradi tu kujua kiingereza, mengineyo utajua wewe.

Na kwa kuwa katika maisha yetu japokuwa tupo blind katika maeneo mengi ikiwemo uwekezaji, matumizi ya fedha, taarifa mbali mbali za fursa,tukitoka kusoma shule basi hatupendi kusoma au kuendelea kujifunza,nk ndo maana yanatokea hayo maana washkaji ndo wanaweza determine namna ya kutumia hela yako. Pia uaminifu kiasi kwamba mtu anaweza toa hela zote hizo kisa mbunye tu.

We mshkji huna akili, Sana Sana pambana na hali yako.
Ila kama ulimpa hela kwa njia ya transfer au kutumia bank to bank unaweza pata hela yako
Ni muda mrefu kidogo. Sidhani kama nitapata tena[emoji24]
 
Uwa tunasema imeisha iyo but pole kwa mkasa ila tumepata fundisho kubwa sana
 
Now nikimuambia mtu hawezi kuamini... Bado naumia sana, tena kilichofanya niache kumfuatilia yule mchagga ni kuwa watu fulani walinitonya kuwa ni kitengo, hapo nikaogopa mazima mpaka leo hii. Naye ni mara moja moja mno anakuja dukani kwake, ameweka watu kote. Ila yote maisha. Hata mama mzazi hajui issue hii ya 500M. Hata mia sijaambulia mpaka leo[emoji24]
Mtafutie mpango huyo manzi umle hadi kucha
 
Hii ndio story ya kwanza naona mtunzi hajaandika.... ITAENDELEA....... Ila mtunzi umejitahidi kutunga good work
 
Hii ni historia ya jinsi nilivyokutana na huyu Mchagga na kilichoendelea mpaka kufilisika vibaya.

Wengi humu JF mmekuwa mkinichukulia mtu asiyeeleweka na masikini mno. Hasa baada ya kusema nilikusanya 8000 kwa karibu miezi minne kwa kusave sehemu ya hela nilizopata(sio uongo ni kweli nili save na nauza karanga kwa sasa). Hiki
Hii kahawa
 
Back
Top Bottom