Gomegwa G
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 415
- 535
Ka Anangisye ni kakuda kweli yaani kuna mambo ya kijinga kanafanyaga mpaka huwezi kuaminiUDSM ilisha kufa tangu aingizwe madarakani huyu VC wa sasa. Ni mwoga kama katoto kadogo. Eti anatishwa na waziri na yeye anaweweseka tu. Kwanza hakushinda kwenye uchaguzi wa VC wakaamua apewe kwa sababu ni dhaifu! Ameiua UDSM na kuwa kama chekechea vile. Hakuna mwenye hamu ya kuwa UDSM ila wanashindwa wafanyeje maana ndiko waliko ajiriwa.
Kwa mfano kuhusu suala la Mikopo ni la mteja (mwanafunzi) na bodi ya mikopo. Sasa mteja anapolalamikia huduma mbovu wewe mwingine unakereketwa na nini?
Sent using Jamii Forums mobile app