Nakukumbusha Waziri Ndalichako kwamba Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana. Utaondoka na kukiacha kama wengine walivyokiacha

Erythrocyte,
Ana bahati sana huyu bibi. Ungekuwa ndio ule wakati wa huko nyuma tulipokuwa na vyuo vikuu nchi ingewaka moto kwa lile tamko lake la eti kutikisa kiberiti eti kimejaa. kweli! Bahati yake vyuo vikuu vilishafutika tangu 25/10/2015. Angekiona cha moto. Angeomba radhi maana kuanzia jana hakuna ambacho kingeendelea vyuoni. Ingekuwa ni mtifuano mkubwa! bahati yako bibi unaongoza wizara kipindi ambacho hatuna vyuo vikuu.
 
Uteuzi wa Huyu Mama ndio nilipojua JF inaangaliwa sana na wakubwa, Tulisuport sana uteuzi wake kama Jf ila leo mmh sitak hata kusoma zile comment
Siyo kwamba tulisupport uteuzi wake , huyu tulimteua kwanza sisi ndio baadaye Magufuli akaona na kuamua kumteua , huyu ni waziri aliyetokea JF .

Kiukweli naona aibu sana kwa hili .
 
Sijapenda kauli zake, lakini nafikiri WA kulaumiwa Sana ni uongo WA UDSM.
Wamepigwa mkwara , wamejaa fasta. Wawasikilize wanafunzi.

Vipi kuhusu waliosababisha mkopo kuchelewa?. Nao wanafukuzwa Kazi?.
UDSM ilisha kufa tangu aingizwe madarakani huyu VC wa sasa. Ni mwoga kama katoto kadogo. Eti anatishwa na waziri na yeye anaweweseka tu. Kwanza hakushinda kwenye uchaguzi wa VC wakaamua apewe kwa sababu ni dhaifu! Ameiua UDSM na kuwa kama chekechea vile. Hakuna mwenye hamu ya kuwa UDSM ila wanashindwa wafanyeje maana ndiko waliko ajiriwa.

Kwa mfano kuhusu suala la Mikopo ni la mteja (mwanafunzi) na bodi ya mikopo. Sasa mteja anapolalamikia huduma mbovu wewe mwingine unakereketwa na nini?
 
Sijapenda kauli zake, lakini nafikiri WA kulaumiwa Sana ni uongo WA UDSM.
Wamepigwa mkwara , wamejaa fasta. Wawasikilize wanafunzi.

Vipi kuhusu waliosababisha mkopo kuchelewa?. Nao wanafukuzwa Kazi?.
Wamemsimamisha masomo tu kwa muda usiojulikana wametoa adhabu ya kuwaridhisha na labda kuzima huu moto naamini atarudishwa.
 
Ana bahati sana huyu bibi. Ungekuwa ndio ule wakati wa huko nyuma tulipokuwa na vyuo vikuu nchi ingewaka moto kwa lile tamko lake la eti kutikisa kiberiti eti kimejaa. kweli! Bahati yake vyuo vikuu vilishafutika tangu 25/10/2015. Angekiona cha moto. Angeomba radhi maana kuanzia jana hakuna ambacho kingeendelea vyuoni. Ingekuwa ni mtifuano mkubwa! bahati yako bibi unaongoza wizara kipindi ambacho hatuna vyuo vikuu.
Ko vyuo vikuu vilikuwepo wakati unasoma wewe tu. Wakati ambao wanasoma wengine hakuna vyuo vikuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu mnapenda kujikweza.

Baraza la Mawaziri lipatikane kwa kupigiwa debe na mapendekezo ya BAVICHA!!
 
Back
Top Bottom