Wewe na yeye wote manzi ga Nyanza! Udini unakujaje hapa? wameyataka au mmeyataka? you?Alipowaonea wanafunzi Waislam alipokuwa NECTA tulivyofanya maandamano aondolewe mlitubeza sana.
"Wameyataka wenyewe basi shauri yao".
ndiyo walewale tuu?Tatizo sio Ndalichako. Tatizo ni yule anayeitwa limbukeni na mshamba na wenzake chamani.
Udini ndiyo nini? Pitia uzi uone na picha kabisa za Waislam walivyoandamana.WE
Wewe na yeye wote manzi ga Nyanza! Udini unakujaje hapa? wameyataka au mmeyataka? you?
Hiyo no sita Una uhakika nayo?Ngoja nikutajiye:
1. Hakuna Karo STD 1 to Secondary
2. Changamoto ya madawati shuleni imepungua kama siyo kuondolewa kabisa.
3. Changamoto ya madarasa imepungua sana
4. Shule nyingi za zamani zimekarabatiwa
5. Ufaulu mashuleni umeongezeka
6. Mikopo ya wanafunzi wa vyuo imeongezeka mara 100%
7.....
Nipitie uzi tena?! nilikuwa mmoja wao!Udini ndiyo nini? Pitia uzi uone na picha kabisa za Waislam walivyoandamana.
WakitajwaWaislam ndiyo udini?
Kiswahili kinakupa shida, kwanza Waislam siyo "dini". Halafu siyo Uislam ulioandamana, walioandamna kushikiza Ndalichako aondolewe NECTA walikuwa Waislam. Ulitaka tukutaje wewe? Ukipenda usipende huo ndiyo ukweli na ulitokea.Nipitie uzi tena?! nilikuwa mmoja wao!
Ndiyo waislam ni Dini, hayo madhehebu yenu ndiyo mnaona Dini tu? sipendi uislam, utajwe kutafuta publicity, bila sababu za msingi, wenyewe tunaweza kujitetea! narudia tena waislamu tunajiheshimu kwa Madili yetu naomba mtuache!
Nimecheka hilo bango eti "NECTA NI PAROKIA" duuuuuuh Islamic walitishaaaah mnoooo.Huyu mama waislamu wamewahi kuandamana kumtaka ang'oke NECTA kwa kuvurunda, leo anawaletea wanafunzi, watoto wa masikini dharau kisa eti ana mamlaka
Hapa Chini picha za waislamu walipoandamana kupinga madudu ya NECTA.
View attachment 1296300View attachment 1296302View attachment 1296303
Uko sahihi kabisa Mkuu!Kiswahili kinakupa shida, kwanza Waislam siyo "dini". Halafu siyo Uislam ulioandamana, walioandamna kushikiza Ndalichako aondolewe NECTA walikuwa Waislam. Ulitaka tukutaje wewe? Ukipenda usipende huo ndiyo ukweli na ulitokea.
Pitia uzi utazikuta na picha za Waislam wakiandamana, kama u mvivu wa kusoma siyo tatizo langu hilo, linajionesha wazi katika maandiko yako.
Ma me nashangaa bodi ya mikopo inaingiliwa vipi na wizara ya elimu katika utimizaji wa majukumu yake binafsiUDSM ilisha kufa tangu aingizwe madarakani huyu VC wa sasa. Ni mwoga kama katoto kadogo. Eti anatishwa na waziri na yeye anaweweseka tu. Kwanza hakushinda kwenye uchaguzi wa VC wakaamua apewe kwa sababu ni dhaifu! Ameiua UDSM na kuwa kama chekechea vile. Hakuna mwenye hamu ya kuwa UDSM ila wanashindwa wafanyeje maana ndiko waliko ajiriwa.
Kwa mfano kuhusu suala la Mikopo ni la mteja (mwanafunzi) na bodi ya mikopo. Sasa mteja anapolalamikia huduma mbovu wewe mwingine unakereketwa na nini?
View attachment 1296258
Kuna wakati ulipokuwa NECTA ulilalamikiwa kwamba hutumii weledi huku baadhi ya wadau wakitaka ung'olewe , tulikutetea sana kuliko maelezo , Kwa taarifa yako sisi ndio tulikupendekeza uteuliwe Waziri wa Elimu ili ukaweze kutatua changamoto zinazoikabili sekta ya elimu nchini Tanzania ikiwemo changamoto ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu , angalia nyuzi zetu humu kabla ya uteuzi wako .
Lakini sasa mimi binafsi naanza kujuta kwa kushiriki kukupigia debe kutokana na matendo yako baada ya kulewa madaraka , madai halali ya wanafunzi umeamua kuyageuza kuwa ni makosa makubwa ya kufukuza watoto wa watu chuoni badala ya kutumia weledi , umeamua kutumia bunduki kuua mbu !
Utavuna unachopanda .
Hiyo no 7 ndio ilileta mtafaruku juzi au unasahau. DuuuuuuuhMookiesbad98,
Ngoja nikutajiye:
1. Hakuna Karo STD 1 to Secondary
2. Changamoto ya madawati shuleni imepungua kama siyo kuondolewa kabisa.
3. Changamoto ya madarasa imepungua sana
4. Shule nyingi za zamani zimekarabatiwa
5. Ufaulu mashuleni umeongezeka
6. Mikopo ya wanafunzi wa vyuo imeongezeka mara 100%
7.....
Ukisoma Chuo nje utagundua Tanzania hapajawahi kuwa na Chuo cha kujivunia.Kama unajua maana halisi ya Chuo Kikuu na sifa zake. Nitajie leo chuo gani kina sifa za Kuitwa Chuo Kikuu?
Elimu bureeeee, unadhani ni nini tutawaliwe na wenye nchiUkisoma Chuo nje utagundua Tanzania hapajawahi kuwa na Chuo cha kujivunia.
Tatizo ni lako si langu.Uko sahihi kabisa Mkuu!
Kuwa ''sisomagi kila kinachoandikwa na yeyote!'' niko so! so! selective, logically it's not that much sin! to be a kind of idealistic figure in that way!!!! yes I am!!
Tatizo siyo tatizo mpaka muhusika ameliona ni tatizo! kwa hiyo; siyo kweli kuwa siyo tatizo lako!
uki-jisikia comfortable taja ''Tata nyarusare alikuwepo!'' siyo mbaya! .... Rhuksa!
Mkuu una matatizo sana, tena ya msingi kweli kweli, kama kweli uko timamu jitafakari sanaMookiesbad98,
Ngoja nikutajiye:
1. Hakuna Karo STD 1 to Secondary
2. Changamoto ya madawati shuleni imepungua kama siyo kuondolewa kabisa.
3. Changamoto ya madarasa imepungua sana
4. Shule nyingi za zamani zimekarabatiwa
5. Ufaulu mashuleni umeongezeka
6. Mikopo ya wanafunzi wa vyuo imeongezeka mara 100%
7.....
Picha yake......wengi hatumkumbuki huyo VCKale ni kakuda mpka haiwezekani, mwaka jana nilienda kuchukua cheti, wakati tumekaa kwenye garden maeneo ya utawala kakaja kututukana eti tunakaharibia wakati kametumia pesa nyingi kupatengeneza.
Kakatutishia eti kanatuitia polisi.
Kale ni kakuda chuo kamekiua.
Sent using Jamii Forums mobile app