Nakukumbusha Waziri Ndalichako kwamba Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana. Utaondoka na kukiacha kama wengine walivyokiacha

UDSM ilisha kufa tangu aingizwe madarakani huyu VC wa sasa. Ni mwoga kama katoto kadogo. Eti anatishwa na waziri na yeye anaweweseka tu. Kwanza hakushinda kwenye uchaguzi wa VC wakaamua apewe kwa sababu ni dhaifu! Ameiua UDSM na kuwa kama chekechea vile. Hakuna mwenye hamu ya kuwa UDSM ila wanashindwa wafanyeje maana ndiko waliko ajiriwa.

Kwa mfano kuhusu suala la Mikopo ni la mteja (mwanafunzi) na bodi ya mikopo. Sasa mteja anapolalamikia huduma mbovu wewe mwingine unakereketwa na nini?
Ka Anangisye ni kakuda kweli yaani kuna mambo ya kijinga kanafanyaga mpaka huwezi kuamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ka Anangisye ni kakuda kweli yaani kuna mambo ya kijinga kanafanyaga mpaka huwezi kuamini

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikutana naye muulize, nani alimchagua kuwa VC? Ukichomokwa ndio madhara yake hayo. Unakosa sauti kabisa!
 
Erythrocyte,

Kwani kabla ya ndaichako alikuwpo nani, mbona hiyo nafasi wamepita wengisana, suala la nafasi hata ukipendwa na wote utatoka tu mida ukifika, kwa hiyo kama una hasira nae tafuta namna kwa muda huu ili asikie maumivu, kwa dua yako hiyo bado sana yupyupo.
 
Ukikutana naye muulize, nani alimchagua kuwa VC? Ukichomokwa ndio madhara yake hayo. Unakosa sauti kabisa!
Kale ni kakuda mpka haiwezekani, mwaka jana nilienda kuchukua cheti, wakati tumekaa kwenye garden maeneo ya utawala kakaja kututukana eti tunakaharibia wakati kametumia pesa nyingi kupatengeneza.
Kakatutishia eti kanatuitia polisi.
Kale ni kakuda chuo kamekiua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Erythrocyte,
Alipowaonea wanafunzi Waislam alipokuwa NECTA tulivyofanya maandamano aondolewe mlitubeza sana.

"Wameyataka wenyewe basi shauri yao".
 
Binafsi mwenye mafanikio ya huyu mama toka awe waziri wa elimu ningependa ayeweke hapa jukwaani.

Hakuna kitu ameharibu kama ku dis regard elimu za watu waliosoma zamani. Ithibati aliyoiweka imewaweka pembeni watu wengi waliosoma zamani.

Kuna vyuo zamani vilitoa elimu leo hii elimu haitambuliki, She will soon fce karma for her deeds. Na uzuri anayatenda haya tukikaribia uchaguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mama kafeli vibaya,wizara imemshinda.Anapewa vitu vingi vya msingi humu but hamna utekelezaji.Elimu inazidi kufa.Walimu kawatelekeza huko wajijue.Yani ni hovyo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wa jk huyu mama aliondolewa nekta,Basi jf wakapiga kelele kwamba kaonewa na wakashauri huyu mama anafaa kuwa waziri was elimu,
Ombi la wanajf likakubaliwa,wengine tulisema tangu awali huyu mama hawezi
Hili jambo la ajabu au mnacho kiongea hamkielewi? Yaa kwa sasa ndo mnaona Ndalichako hafai wakati miezi michache tu kumaliza muhula!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom