Nakukemea Freeman Mbowe

Huyu Mzee tunamuheshimu sana lakini mlio karibu mwambieni aache chokochoko zozote zile kuihujumu CDM tena aache haraka sana.
 
sasa si amestaafu, au? lissu alishamtembelea wakaongea kwa masaa matatu, mdude mawakili wanashughulikia, mwache mbowe apumzike asimamie biashara zake, hayo madai yako wapo akina heche watashughulika nayo
Hata jaji Warioba amesitaafu
 
Tena kuna mtu aliweka uzi hapa kama chezea serikali usichezee dola haya sasa kuraneni space x mumtoe
 
Pia mdude alimtetea sana
 
Acheni kuwasumbua wastaafu. Mlimwambia akapumzike mmejisahau sasa
 
Mwacheni apumzike mlimtukana sana kwenye kampeni zenu

Mwacheni auguze.majeraha ya matusi mliyomtukana mkiongozwa na mtukanaji mkuu Tundu Lisu
Na Chadema ipumzike kufanya siasa?
 
Achana naye mkuu
 
Kwenye mikutano ya Samia unaenda ila kwenda mahakamani kuhudhuria kesi ya mwenyekiti wako huwezi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…