Na Lissu alimwambia siku ile pale Mlimani City achukue likizosasa si amestaafu, au? lissu alishamtembelea wakaongea kwa masaa matatu, mdude mawakili wanashughulikia, mwache mbowe apumzike asimamie biashara zake, hayo madai yako wapo akina heche watashughulika nayo
DuhNa Lissu alimwambia siku ile pale Mlimani City achukue likizo
Upinzani sio ugomvi,hawa ndugu zetu wanaamini katika ugomvi na chuki kama vile wewe unavyoamini kila anayepatwa na baya kafurahia kifo cha Magufuli na tulikushauri sasa umeelewa,wenzako hawaelewi bhana😆Unamdanganya sana, maana watu wanaamini sasa kuwa huyo ni ccm B
Ni wajinga haswaWanpoteza muda
HAPO UTOFAUTI WA CHADEMA NA CCM UNAPOONEKANA, CCM WAKIMCHAGUA KIONGOZI HATA AWEJE WATAMPIGANIA HADI TONE LA MWISHO CHADEMA WAKIMTEUWA KIONGOZI WENGINE WASIPOKUBALIANA NAYE WANAMKIMBIA...HVO BASI WANA CCM WAPO KWA AJILI YA KUKULINDA CHAMA NASIO MTU CHADEMA WAO WAPO KWA AJILI YA MTU NASIO CHAMA...KWAMANTIKI HYO NIVIGUMU SANA.Umekuwa mwenyekiti wa Chadema kwa miaka 20 na ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA lakini hukuwahi kuipenda Chadema kabisa hili limegundulika.
Haiwezekani mwenyekiti wa chama ulichokiongoza kwa zaidi ya miaka 20 Tundu Lisu anakamatwa na kuwekwa ndani lakini wewe unakaa kimya.
Haiwezekani Chadema uliyoikuza na kuiongoza kwa miaka 20 wanachama wake kama Mdude wwanatekwa na kupotezwa lakini wewe uko kimya.
Wewe Freeman Mbowe uliposhitakiwa kwa kufanya ugaidi na kutaka kumuuwa Sabaya na viongozi wengine wa serikali, wanachadema wote walikupigania akiwemo Tundu Lissu lakini wewe uko kimya hupiganii chochote.
Ndiyo inatakiwa hivyo, chama kwanza mtu baadaeHAPO UTOFAUTI WA CHADEMA NA CCM UNAPOONEKANA, CCM WAKIMCHAGUA KIONGOZI HATA AWEJE WATAMPIGANIA HADI TONE LA MWISHO CHADEMA WAKIMTEUWA KIONGOZI WENGINE WASIPOKUBALIANA NAYE WANAMKIMBIA...HVO BASI WANA CCM WAPO KWA AJILI YA KUKULINDA CHAMA NASIO MTU CHADEMA WAO WAPO KWA AJILI YA MTU NASIO CHAMA...KWAMANTIKI HYO NIVIGUMU SANA.
Wewe Freeman Mbowe uliposhitakiwa kwa kufanya ugaidi na kutaka kumuuwa Sabaya na viongozi wengine wa serikali, wanachadema wote walikupigania akiwemo Tundu Lissu lakini wewe uko kimya hupiganii chochote.🤔Umekuwa mwenyekiti wa Chadema kwa miaka 20 na ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA lakini hukuwahi kuipenda Chadema kabisa hili limegundulika.
Haiwezekani mwenyekiti wa chama ulichokiongoza kwa zaidi ya miaka 20 Tundu Lisu anakamatwa na kuwekwa ndani lakini wewe unakaa kimya.
Haiwezekani Chadema uliyoikuza na kuiongoza kwa miaka 20 wanachama wake kama Mdude wwanatekwa na kupotezwa lakini wewe uko kimya.
Wewe Freeman Mbowe uliposhitakiwa kwa kufanya ugaidi na kutaka kumuuwa Sabaya na viongozi wengine wa serikali, wanachadema wote walikupigania akiwemo Tundu Lissu lakini wewe uko kimya hupiganii chochote.
Ndo hivyoWewe Freeman Mbowe uliposhitakiwa kwa kufanya ugaidi na kutaka kumuuwa Sabaya na viongozi wengine wa serikali, wanachadema wote walikupigania akiwemo Tundu Lissu lakini wewe uko kimya hupiganii chochote.🤔
Mlidhani kuongoza chama ni rahisi?Umekuwa mwenyekiti wa Chadema kwa miaka 20 na ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA lakini hukuwahi kuipenda Chadema kabisa hili limegundulika.
Haiwezekani mwenyekiti wa chama ulichokiongoza kwa zaidi ya miaka 20 Tundu Lisu anakamatwa na kuwekwa ndani lakini wewe unakaa kimya.
Haiwezekani Chadema uliyoikuza na kuiongoza kwa miaka 20 wanachama wake kama Mdude wwanatekwa na kupotezwa lakini wewe uko kimya.
Wewe Freeman Mbowe uliposhitakiwa kwa kufanya ugaidi na kutaka kumuuwa Sabaya na viongozi wengine wa serikali, wanachadema wote walikupigania akiwemo Tundu Lissu lakini wewe uko kimya hupiganii chochote.
Ukikaa kimya uongo unageuka kuwa ukweliKwani wewe mleta mada hujui kuwa jawabu zuri kwa mtu mpumbavu sikuzote ni kukaa kimnya?
Kwa hiyo mmekaa kimya ili ionekane kuongoza chama ni ngumu sana?Mlidhani kuongoza chama ni rahisi?
Inauliza jibu?Kwa hiyo mmekaa kimya ili ionekane kuongoza chama ni ngumu s
Hujui unachosemaUmekuwa mwenyekiti wa Chadema kwa miaka 20 na ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA lakini hukuwahi kuipenda Chadema kabisa hili limegundulika.
Mbowe ulitaka afanye nini sasa mstaafu. Na suala la kupiga kelele ni la Wana CDM siyo Mbowe peke yake. Mlipomwacha aandamane peke yake mlifikiria nini?Haiwezekani mwenyekiti wa chama ulichokiongoza kwa zaidi ya miaka 20 Tundu Lisu anakamatwa na kuwekwa ndani lakini wewe unakaa kimya.
Alipokuwa anaandamana peke yake mlikuwa wapi, kwani aliwalaumu kwa hili? Lissu alikuwa wapi?Haiwezekani Chadema uliyoikuza na kuiongoza kwa miaka 20 wanachama wake kama Mdude wwanatekwa na kupotezwa lakini wewe uko kimya.
Lissu alikuwa wapi wakati Mbowe anapoteza mabilioni yake kwa ajili ya chama? Shukrani ya Lissu kwa Mbowe ipo wapi wakati Mbowe ndiye aliyeokoa uhai wa Lissu alipopigwa risasi Dodoma? Hmna shukrani kazi kumlaumu Mbowe kwa kila kitu. Mwacheni Mbowe apumzike sasa piganieni uhai wenu wenyewe.Wewe Freeman Mbowe uliposhitakiwa kwa kufanya ugaidi na kutaka kumuuwa Sabaya na viongozi wengine wa serikali, wanachadema wote walikupigania akiwemo Tundu Lissu lakini wewe uko kimya hupiganii chochote.
Wacha mjifunze kuwa kuendesha CDM ni kazi kubwa na Mbowe tu ndiye aliiweza.Mbowe hana uchungu wowote na Chadema
Na ukimnya nao unageuka kuwa kiziwiUkikaa kimya uongo unageuka kuwa ukweli
Alikuwa anapiga kelele club house na twitterHujui unachosema
Mbowe ulitaka afanye nini sasa mstaafu. Na suala la kupiga kelele ni la Wana CDM siyo Mbowe peke yake. Mlipomwacha aandamane peke yake mlifikiria nini?
Alipokuwa anaandamana peke yake mlikuwa wapi, kwani aliwalaumu kwa hili? Lissu alikuwa wapi?
Lissu alikuwa wapi wakati Mbowe anapoteza mabilioni yake kwa ajili ya chama? Shukrani ya Lissu kwa Mbowe ipo wapi wakati Mbowe ndiye aliyeokoa uhai wa Lissu alipopigwa risasi Dodoma? Hmna shukrani kazi kumlaumu Mbowe kwa kila kitu. Mwacheni Mbowe apumzike sasa piganieni uhai wenu wenyewe.
Etwege ndiyo nani?Etwege leo hujasema kale kamsemo uchwara kako "laana ya kushangilia kifo cha Magufuli".