Sahihi kabisawewe ni zaidi ya mwehu;
Kwani CHADEMA ni Mbowe? Wakati mnasema Mbowe mzee astaafu, unaelewa,maana ya kustaafu?
Mbowe jela ametoka kwa, juhudi zake sio nyinyi mashabiki wa mtandaoni? Mliwahi juandamana Mbowe atoke jela?
Mbowe alisema wazi akishindwa uchaguzi anaenda kwenye biashara zake.
Mjitumbukize kwenye natatizo na dola hakafu mje kumlilia Mbowe awasaidie kwani ndiye akiyewatuma?
Mwana kulitafuta mwana kulipata.
Makani alipomkabidhi Mbowe chama ulimuona jukwaani tena? Mtei alipomkabidhi Makani chana ulimuona amepanda jukwaani?Nyerere alipostaafu uwenyekiti wa CCM aliendelea kukipigania chama chake, kwa mfano alimnadi sana Mkapa dhidi ya Mrema, alimsaidia Mwinyi kudeal na G55 OG. Na alifanya hayo bila kuwa na cheo chochote tena. Sasa Mbowe ambaye ni.mjumbe wa kudumu wa kamati kuu kwa nini hakipiganii chama, au anataka kife afurahi kuwa bila yeye chadema inakufa?. Huu ni ubinafsi wa hali ya juu sana.
Mkuu umeandika nilichokuwa nakiwaza...Hawa wanaotaman Mbowe aongee bila shaka Wana maneno na mawazo ambayo wanataka Mbowe ayatamke.Akiongea tofauti wataibuka tena kusema anyamaze muda wake wa uongozi umeisha.Makani alipomkabidhi Mbowe chama ulimuona jukwaani tena? Mtei alipomkabidhi Makani chana ulimuona amepanda jukwaani?
Nyerere kumpigia kampeni Mkapa sio reference ya kufuatwa na Mbowe..
Mnataka Mbowe huyu huyu mnayedai kalambishwa asali ndiyo amnadi tena Lissu? Nafikiri kichwani hampo sawa
Sikuwahi kudhani kuwa chama cha CHADEMA ni mkusanyiko wa wehu Tanzania mpaka wakati wa uchaguzi wao uliopita hadi sasa.Ninavyoijua mifuasi ya chadema chakavu ilivyo mizuzu na yenye mihemko, mbowe akitia neno tu basi atatupiwa maneno mengi zaidi. Hapo tayari inamshutumu kwa mambo kibao tu ikiwemo hata kuhusika kuwateka hao kina mdude. Bora mbowe aendelee kujikalia kimya.
Sikuwahi kumuona akitafuta popoteKwani msaidizi wake binafsi Ben Saanane alipopotea Mbowe alihangaika kumtafuta?
Kila mtu apambane na hali yake aisee! 😂
Lissu kaharibu kabisa siasa za upinzani.Maji yako shingoni.Lisu aliwadanganya kuwa makao makuu kuna pesa nyingi akishika atazifikisha matawini
Kuwa zinaliwa na team Mbowe.Toka ashike miezi sita imepita hajapeleka hata mia matawini iwe pesa ya ruzuku au tonetone
Lisu Aliingia kwenye uongozi kwa ghiliba na uwongo
KivipiLissu kaharibu kabisa siasa za upinzani.
Wewe umeongoza nini?Umekuwa mwenyekiti wa Chadema kwa miaka 20 na ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA lakini hukuwahi kuipenda Chadema kabisa hili limegundulika.
Haiwezekani mwenyekiti wa chama ulichokiongoza kwa zaidi ya miaka 20 Tundu Lisu anakamatwa na kuwekwa ndani lakini wewe unakaa kimya.
Haiwezekani Chadema uliyoikuza na kuiongoza kwa miaka 20 wanachama wake kama Mdude wwanatekwa na kupotezwa lakini wewe uko kimya.
Wewe Freeman Mbowe uliposhitakiwa kwa kufanya ugaidi na kutaka kumuuwa Sabaya na viongozi wengine wa serikali, wanachadema wote walikupigania akiwemo Tundu Lissu lakini wewe uko kimya hupiganii chochote.
Weken maneno mengine akiba mzee siasa isije ikakushanganzaUmekuwa mwenyekiti wa Chadema kwa miaka 20 na ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA lakini hukuwahi kuipenda Chadema kabisa hili limegundulika.
Haiwezekani mwenyekiti wa chama ulichokiongoza kwa zaidi ya miaka 20 Tundu Lisu anakamatwa na kuwekwa ndani lakini wewe unakaa kimya.
Haiwezekani Chadema uliyoikuza na kuiongoza kwa miaka 20 wanachama wake kama Mdude wwanatekwa na kupotezwa lakini wewe uko kimya.
Wewe Freeman Mbowe uliposhitakiwa kwa kufanya ugaidi na kutaka kumuuwa Sabaya na viongozi wengine wa serikali, wanachadema wote walikupigania akiwemo Tundu Lissu lakini wewe uko kimya hupiganii chochote.
Nampongeza sana Mbowe kukaa kimya,Ukimya ni silaha ya maana sana kiseikolojia.Kila siku wanamwandika hapa ila huko panabomoka penyewe bila kuongea.Shikamoo FMni wazi kusahau ni kitu mbaya sana.
Alie kua anapinga maridhiano alikua akitamani Freeman Aikael Mbowe aendelee kusota korokoroni wakati ule, si ndio huyu mwenyekiti wa Chadema sasa hivi ndugu zangu wadau?
Lakini hiyo haikutosha,
pamoja na fadhila zote za Mbowe kwa huyo muungwana mathalani za chakula alizomkirimia mwenyekiti wa Chadema Taifa wa sasa, bado Mbowe aliishia kutwezwa utu wake na familia yake, kuitwa mlamba asali, kuitwa mla rushwa, lakini pia kuna wakati kiongozi huyu aliwahi kuropoka kwamba haendi tena kwenda kupiga msosi kwa mbowe kwani anaweza kumuwekea sumu kwenye chakula kiongozi huyu mpya wa Chadema ambae hakua na mahali pakula chakula alipotoka uhamishoni huko ughaibuni. Na mara zote Mbowe alikaa kimya tu.
Haya,
kulikoni tena leo mayowe na makelele dhidi ya Mbowe hali ya kua anaendelea na shughuli zake biashara zake kimya kimya? Na wengine si waendelee na mambo yao ya uongozi wa chama kwa uhuru wajemeni?
Si alidai mbowe kamtuma wenje apambane nae umakamu mwenyekiti wa Chadema Taifa?
Si amepata uenyekiti wa chadema Taifa? Si aendelee na kazi sasa bila kua na chuki binafsi dhidi ya wengine?
Si kila mtu afanye kazi yake bila kusumbua mwingine gentleman?🐒
UWT watakupingaUmekuwa mwenyekiti wa Chadema kwa miaka 20 na ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA lakini hukuwahi kuipenda Chadema kabisa hili limegundulika.
Haiwezekani mwenyekiti wa chama ulichokiongoza kwa zaidi ya miaka 20 Tundu Lisu anakamatwa na kuwekwa ndani lakini wewe unakaa kimya.
Haiwezekani Chadema uliyoikuza na kuiongoza kwa miaka 20 wanachama wake kama Mdude wwanatekwa na kupotezwa lakini wewe uko kimya.
Wewe Freeman Mbowe uliposhitakiwa kwa kufanya ugaidi na kutaka kumuuwa Sabaya na viongozi wengine wa serikali, wanachadema wote walikupigania akiwemo Tundu Lissu lakini wewe uko kimya hupiganii chochote.
Unamdanganya sana, maana watu wanaamini sasa kuwa huyo ni ccm BNampongeza sana Mbowe kukaa kimya,Ukimya ni silaha ya maana sana kiseikolojia.Kila siku wanamwandika hapa ila huko panabomoka penyewe bila kuongea.Shikamoo FM
Wanpoteza mudaUWT watakupinga
Mbowe Ana uchungu na CDM Saccos sio CDM kama chama cha upinzaniKwa hiyo nyinyi watoto mnaipenda na mna uchungu na Chadema kuliko Mbowe?
Somo lako la kuelewa wenye akili tuMbowe Ana uchungu na CDM Saccos sio CDM kama chama cha upinzani
uko sahihi gentlemanNampongeza sana Mbowe kukaa kimya,Ukimya ni silaha ya maana sana kiseikolojia.Kila siku wanamwandika hapa ila huko panabomoka penyewe bila kuongea.Shikamoo FM
Ni wazee sana haoMbona hujawasema watangulizi wa Mbowe?