Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,399
- 2,601
- Thread starter
-
- #21
Kukemea watu wasitekwe ni kuhujumu uongozi wa Chadema?Gentleman,
endapo itafanyika hivyo, itakua ni kuhujumu uongozi mpya wa Chadema Taifa uliopo.
Ikiwa chadema ina haja na hilo, basi imfuate Mbowe kwa heshima na kumuoamba awajibikie hilo, huo ndio ustaarabu 🐒
Mama Samia leo akiwekwa ndani kikwete hatoenda kumuona au kumtakia heri? Acha umbangaLissu amemtaja aliyetaka kumuua zaidi ya mara 100, wewe bado tu unaleta chuki kwa FAM?Mzee wa watu kapumzika lakini bado mnamlilia. Mmebaki yatima eeh?
Kwa chuki hii anayoionyesha huenda hata Ally Kibao ameuawa na MboweLissu amemtaja aliyetaka kumuua zaidi ya mara 100, wewe bado tu unaleta chuki kwa FAM?Mzee wa watu kapumzika lakini bado mnamlilia. Mmebaki yatima eeh?
Mwehu sio mpaka avue nguo matendo na matamshi vinatosha kubainisha kuwa huyu mwehusasa si amestaafu, au? lissu alishamtembelea wakaongea kwa masaa matatu, mdude mawakili wanashughulikia, mwache mbowe apumzike asimamie biashara zake, hayo madai yako wapo akina heche watashughulika nayo
Mbowe amesitaafu lini ujumbe wa kamati kuu?Wafuasi wa Lissu ni wapumbavu mno. Mbowe kashastaafu na alitangaza hadharani anarudi kwenye biashara zake ila nyumbu mnataka aendelee kuwa active kwenye siasa.
Huku wamejificha na majina fekiKwa hiyo nyinyi watoto mnaipenda na mna uchungu na Chadema kuliko Mbowe?
Ulitaka afanye nini sasa, tundulisu aliamini atayaweza hayo mapito harafu mboe kwa sasa anafanya hizo harakati Kama Nani hasa katika chama, hiyo nguvu aliyonayo inaweza kuruhusu hayo unayoyasemaUmekuwa mwenyekiti wa Chadema kwa miaka 20 na ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA lakini hukuwahi kuipenda Chadema kabisa hili limegundulika.
Haiwezekani mwenyekiti wa chama ulichokiongoza kwa zaidi ya miaka 20 Tundu Lisu anakamatwa na kuwekwa ndani lakini wewe unakaa kimya.
Haiwezekani Chadema uliyoikuza na kuiongoza kwa miaka 20 wanachama wake kama Mdude wwanatekwa na kupotezwa lakini wewe uko kimya.
Wewe Freeman Mbowe uliposhitakiwa kwa kufanya ugaidi na kutaka kumuuwa Sabaya na viongozi wengine wa serikali, wanachadema wote walikupigania akiwemo Tundu Lissu lakini wewe uko kimya hupiganii chochote.
Mleta mada hii ni CCM mwenzako ujue.Mwacheni apumzike mlimtukana sana kwenye kampeni zenu
Mwacheni auguze.majeraha ya matusi mliyomtukana mkiongozwa na mtukanaji mkuu Tundu Lisu
Unayemtukana ni CCM mwenzako ujue.Wewe mpuuzi kaa kimya
Kama mjumbe wa kamati kuu ya ChademaUlitaka afanye nini sasa, tundulisu aliamini atayaweza hayo mapito harafu mboe kwa sasa anafanya hizo harakati Kama Nani hasa katika chama, hiyo nguvu aliyonayo inaweza kuruhusu hayo unayoyasema
Kwa hiyo amesusa?Huyu huyu Mbowe Mla rushwa, mlamba asali, aliyenunuliwa na Abdul. Huyu aligeuka kukiuwa Chama kwa mujibu wa Lissu. Huyu ndiye Leo mnamlilia?
Mlidhani chama kinaendeshwa kwa mapovu na kuwapaka watu matope?
Ngoma bado mbichi sanalakini wewe uko kimya hupiganii chochote.
Sawa. Bei ya kulaza mgonjwa mmoja pale muhimbili ni elfu 50 kwa siku. Ccm wanajua na raisi anajua. Wewe mwenyewe unajua. Badala ya kuhoji haya unafikiri chasema ikifa ndo bei ya kitanda muhimbili itashuka????Mwacheni apumzike mlimtukana sana kwenye kampeni zenu
Mwacheni auguze.majeraha ya matusi mliyomtukana mkiongozwa na mtukanaji mkuu Tundu Lisu
Siasa ni vita siasa ni kutafutana
Haya ndo matusi yanayofanya mwende jela kizembe.Uambie mkundu wako ukae kimya
Tatizo ni ninyi chawa wa Lissu kumtukana kama vile hakuna kesho. Mwache Mbowe apumzike. Mlitaka akae pembeni , amefanya hivyo kwani tatizo nini?Umekuwa mwenyekiti wa Chadema kwa miaka 20 na ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA lakini hukuwahi kuipenda Chadema kabisa hili limegundulika.
Haiwezekani mwenyekiti wa chama ulichokiongoza kwa zaidi ya miaka 20 Tundu Lisu anakamatwa na kuwekwa ndani lakini wewe unakaa kimya.
Haiwezekani Chadema uliyoikuza na kuiongoza kwa miaka 20 wanachama wake kama Mdude wwanatekwa na kupotezwa lakini wewe uko kimya.
Wewe Freeman Mbowe uliposhitakiwa kwa kufanya ugaidi na kutaka kumuuwa Sabaya na viongozi wengine wa serikali, wanachadema wote walikupigania akiwemo Tundu Lissu lakini wewe uko kimya hupiganii chochote.