Nakuja Tena Kwako Miss Chagga.Nipokee!

Nakuja Tena Kwako Miss Chagga.Nipokee!

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Jana Jumamosi nilikuwa naangaza macho mjini Moshi nikifikiri nitakuona.Nikaondoka zangu saa kumi alasiri na kurejea zangu madongo kujaa vinyesi vya ng'ombe - Naibili.

Leo nataka kuburudisha pua zako. Hebu nusa haya maua uniambie.

MISS CHAGGA FLOWERS8.jpgMISS CHAGGA FLOWERS9.jpgMISS CHAGGA FLOWERS6.jpg BEAUTY.jpgBEAUTY4.jpgBEAUTY3.jpg
 
Watoto wa kichagga wanakimbiza jamani.........halafu wenyewe walaaaaa..........wapo tu hawana habari........
cc😡miss chagga...........
 
Watoto wa kichagga wanakimbiza jamani.........halafu wenyewe walaaaaa..........wapo tu hawana habari........
cc😡miss chagga...........

Yaaani...!!! Wanataka kuwapiku wazaramo na wamakonde sijui ndio climate change Preta?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom