Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,575
- 18,483
Alikua ni co-worker, tulikua mji flan kikazi, weekend tukatoka kurefresh minds, nikanywa viglass kadhaa vya wine nikawa na vibe la hatari, wakati tunarudi hotel chumba changu kipo juu chake kipo chini, akaniomba nilale kwake alinihisi nimelewa kumbe walaa nilichangamka tu, basi nikaingia room kwake nikamwambia "yo, usije ukatake advantage" (wakati me mwenyewe nilikua nataka🤗)And then ...................
akajiapiza hapo basi nikavua nguo nikaoga na yeye akaenda kuoga ikawa tunalala vipi, room ina sofa akasema lala kitandani nitalala kwenye sofa, basi kila mmoja akaenda kujilaza sehem yake ukapita ukimya kama dakika 10 akaniita "Mari, you sleep" nikamwambia ndio naanza, "can i give you a good night kiss kwenye paji la uso?" nikajigunisha akaongeza tena "pleeeeease just a simple good night kiss" nikamwambia sawa njoo, alivyofika akaniinamia akanipa a kiss on my forehead, akashuka hadi kwenye lips, akanipa ulimi nikaupokea kilichofuata ni miguno na vilio vya mahaba.....
MWISHO😃😂