Mwalimu ndio alikufa na CCM yake, mbona kimekufa we upo hai anyway umekufa na propaganda zako:smow:

Jamani chama changu cha magamba kiko ICU. Kina hali mbaya sana. Enzi za uhai wangu nilijaribu kukilinda kwa majini na maruhani kutoka kuzimu kwa baba yangu Shetani, lakini bado nilipata wakati mgumu.
Nilipata wakati maana nilikuwa natumia mbinu za kutisha tisha kwa mfano "ATAKAYEMPINGA JK 2010 ATAKUFA GHAFLA" na ile nyingine"UCHAGUZI MKUU UTAAHIRISHWA MAANA KUNA MGOMBEA URAIS ATAKUFA"
Watu wenye akili kama waandishi wa Mwanahalisi, RaiaMwema na TanzaniaDaima walihoji kauli zangu. Lakini wale waandishi vilaza ambao hawakwenda shule kama wa MtanzaniA na Rai au SautiHuru waliishia kunishabikia bila kujua nilikuwa natumiwa.
Nilipomtabiria JK ushindi alinipeleka India kwa matibabu.
Lakini kifo changu kitaacha pengo. Sidhani kama atapatikana Ngariba mwingine wa kuwatisha watu kama nilivyofanya. Looh! Nauona mwisho wa CCM waziwazi. Jamani nakufa lakini CCM itanifuata hivi karibuni. Ooh! Maskini mimi! NAKUFA NA CCM YANGU.
Yours sincerely,
Sheikh Mahaya ya Hussein.
P.O.BOX 000.
KUZIMU!
kweli we ni Pompo, meaning Kilaza. Mbona unaonekana kumkubali huyo mchawi?? Au nawe ni kijukuu cha gagula?
ok mie ni kilaza we kilazwa usichonielewa ni nini? siwezi andika kama shairi lako but am saying Nyerere ndio alikufa na CCM toka mwaka 91 CCm ilikosa muelekeo na mpaka kufikia kuamini wanajimu kama wewe. by the way Shekhe yahaya alikuwa nani CCM? yup! ni propagandist
we kilazwa aje aisee ama umelazwa?
Jamani chama changu cha magamba kiko ICU. Kina hali mbaya sana. Enzi za uhai wangu nilijaribu kukilinda kwa majini na maruhani kutoka kuzimu kwa baba yangu Shetani, lakini bado nilipata wakati mgumu.
Nilipata wakati maana nilikuwa natumia mbinu za kutisha tisha kwa mfano "ATAKAYEMPINGA JK 2010 ATAKUFA GHAFLA" na ile nyingine"UCHAGUZI MKUU UTAAHIRISHWA MAANA KUNA MGOMBEA URAIS ATAKUFA"
Watu wenye akili kama waandishi wa Mwanahalisi, RaiaMwema na TanzaniaDaima walihoji kauli zangu. Lakini wale waandishi vilaza ambao hawakwenda shule kama wa MtanzaniA na Rai au SautiHuru waliishia kunishabikia bila kujua nilikuwa natumiwa.
Nilipomtabiria JK ushindi alinipeleka India kwa matibabu.
Lakini kifo changu kitaacha pengo. Sidhani kama atapatikana Ngariba mwingine wa kuwatisha watu kama nilivyofanya. Looh! Nauona mwisho wa CCM waziwazi. Jamani nakufa lakini CCM itanifuata hivi karibuni. Ooh! Maskini mimi! NAKUFA NA CCM YANGU.
Yours sincerely,
Sheikh Mahaya ya Hussein.
P.O.BOX 000.
KUZIMU!
Taifa litapata muelekeo pindi genge la wahuni litakapo achia madaraka kwa wananchi. Vipi moto wa huko akhera una uhimili vipi Shehe Mahaya?
Jamani eeh, leteni hoja jamvini. Hakuna maslahi yoyote kwa kumjadili mtu aliyefahamu fika ya kuwa atakapokufa makazi yake kuzimu. Tujadili ni jinsi gani jf itawafikia watu wa vijijini ili waweze kupata wengi wetu tunachofikria. Huyo jamaa tayari yuko kuzimu.