Nakubaliana na Rais Uhuru Kenyatta

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,226
5,948
“Haiwezekani siasa tuanze nayo kila wakati ukinywa chai siasa, ukienda ‘lunch’ siasa ukienda kwa mpenzi wako ni siasa haiwezekani kila siku ni siasa ina wakati, tujipange kwa ajili ya maendeleo ya watu wetu mambo hayo ndiyo yatabadilisha maisha,” amesema Rais Kenyatta.
 
Sawa, tunachosema iwe kwa wote, sio unakataza wenzako huku wewe unafanya siasa hapo sio sawa
 
“Haiwezekani siasa tuanze nayo kila wakati ukinywa chai siasa, ukienda ‘lunch’ siasa ukienda kwa mpenzi wako ni siasa haiwezekani kila siku ni siasa ina wakati, tujipange kwa ajili ya maendeleo ya watu wetu mambo hayo ndiyo yatabadilisha maisha,” amesema Rais Kenyatta.
Siasa ni nini?

Unaweza kuambiwa kwamba hata kuikataa Siasa kama alivyosema Uhuru Kenyatta ni siasa.

Siasa ya level za Jiu-Jitsu.
 
“Haiwezekani siasa tuanze nayo kila wakati ukinywa chai siasa, ukienda ‘lunch’ siasa ukienda kwa mpenzi wako ni siasa haiwezekani kila siku ni siasa ina wakati, tujipange kwa ajili ya maendeleo ya watu wetu mambo hayo ndiyo yatabadilisha maisha,” amesema Rais Kenyatta.
Amemwambia hayo maneno nani,mr.hapa siasa tu na ambaye hajui wapi anatakiwa kusimama kama rais na wapi anapaswa kusimama kama mwenyekiti wa chama au alikuwa anatuambia watanzania tumsaidie ndugu yetu baada ya kumuona haelewi, Ziara binafsi lini ilitolewa press release na ikulu kama si siasa tena siasa uchwara
 
Hadi biashara za umachinga magu amezigeuza siasa!! Tungependa kuikimbia siasa ila kila tunapokwenda tunakutana na siasa! Ndege nayo ipo chattle inamsubiri mwanasiasa amalize siasa zake ndipo irudi kufanya biashara, korosho nazo ni siasa tupu, sasa hadi pamba nayo inageuka siasa muda mfupi ujao!
 
Ufipa watapinga japo kaongea role model wao
Watapinga nini wakati mlioaswa ni ccm? Au unajitoa ufahamu kwa hoja yako ya kijinga? Wanaojiunga na vyuo vikuu ili wapate mkopo lazima siasa iingizwe na upewe kadi ya ccm! Kwenye ajira unapokaguliwa vyeti vyako wanakuchomekea kama, "mbona huna kadi ya chama cha siasa"? Wakimaanisha kadi ya ccm! Ccm mnafanya siasa 24/7 na mmeaswa kuacha Ili mfanye shughuli za maendeleo!
 
Rais bora kabisa
“Haiwezekani siasa tuanze nayo kila wakati ukinywa chai siasa, ukienda ‘lunch’ siasa ukienda kwa mpenzi wako ni siasa haiwezekani kila siku ni siasa ina wakati, tujipange kwa ajili ya maendeleo ya watu wetu mambo hayo ndiyo yatabadilisha maisha,” amesema Rais Kenyatta.
 
“Haiwezekani siasa tuanze nayo kila wakati ukinywa chai siasa, ukienda ‘lunch’ siasa ukienda kwa mpenzi wako ni siasa haiwezekani kila siku ni siasa ina wakati, tujipange kwa ajili ya maendeleo ya watu wetu mambo hayo ndiyo yatabadilisha maisha,” amesema Rais Kenyatta.
Kifupi tu kenyata keshawaacha nyumbu ninyi
 
“Haiwezekani siasa tuanze nayo kila wakati ukinywa chai siasa, ukienda ‘lunch’ siasa ukienda kwa mpenzi wako ni siasa haiwezekani kila siku ni siasa ina wakati, tujipange kwa ajili ya maendeleo ya watu wetu mambo hayo ndiyo yatabadilisha maisha,” amesema Rais Kenyatta.
Lakini hajazuia mikutano ya vyama vya upinzani wote wanafanya sawa na polisi hawawakamati wapinzani
 
Back
Top Bottom