Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
c utuwache tupumuwe jamani, hata mwenyekiti hajarudi mshaanza
Nshukuru! msalimie mama yako ujue yule ni dadangu! so heshima uweke mbele kotekote!! bibi yako na mamangu ni mtu na dada yake kwa baba mkubw ana mdogo.........................msalimie mkamwana pia!!!
zimefika mamamdogo
Siaminiiiiii, oohhh, kama tupo woteeeeeeee, woteeeee, mimi na weweweeeeeeeeeeeeeeeeee
wachunguza nini na majibu yashatolewa hapa, vipi mwekahazina ile kwaya imeanza fanya kazi, ije itumbuize
heeh, siamini kama kweli umejituma , nahisi umetumwa na kuahidiwa kisu kikali, kamwambie umechemsha
nimeamini mpenzi ila hawa wachache nje ya familia wanataka vuruga
Habari za jioni?
Shost umeanza tibua upepo, am luking for matron hapa, vipi can u
jamani,mamdogo unaanza haribu tena