jashmoe32
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 1,099
- 438
Je unataka kujua coordinates za eneo lako ili ukaconfirm ardhi kujua anaekuuzia ndiye mmiliki halisi wa kiwanja? Je unataka kuhakikisha kama size ya eneo ulilouziwa ni sahihi kama ilivoandikwa kwenye karatasi? Basi Ondoa shaka,Garmin eTrex 10 (ni mpya na ilinunuliwa S.A.) itakujibia maswali yako yote na utajua coordinates na ukubwa wa eneo unalotaka kuuziwa.
Wasiliana na mimi kabla hujatapeliwa au kuuziwa eneo ambalo ni dogo.
Pia nakodisha hii device kwa 50,000 kwa siku (40,000/= ni gharama ya kukodi na 10,000/= ni gharama ya mtu wangu ambae mtaongozana nae).
Note: Betri yabidi ugharamie wewe+ Kazi ya mtu wangu ni kuhakikisha mashine iko salama na si kukupimia na shughuli nyingine.
In addition, kazi yetu si kusurvey bali ni kukupa coordinates za eneo lako na kukupimia tu na yote ni kwa sababu ya hichi kifaa.
0718 790 561