- Thread starter
- #21
Nitumie namba yakoTshs. 40,000 vipi? Nahitaji kuanzia Ijumaa na jumamosi tu. Cash in hand!
Nitumie namba yakoTshs. 40,000 vipi? Nahitaji kuanzia Ijumaa na jumamosi tu. Cash in hand!
Acha hizo, nunua Gari uitakayo, iite vyovyote utakavyo, hata ukaiita Bugatti Maruti poa tuMzee hakuna gari inayoitwa hivyo labda yako kama ni special order with your own specifications! As far as i know outlander na airtrek ni products zinazojitegemea, tutumie picha ya hiyo gari yako kuthibitisha maneno yako...