Nakodisha boti ya uvuvi, iko Mwanza

Nakodisha boti ya uvuvi, iko Mwanza

Kheri Hansen

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
1,025
Reaction score
1,242
Habari zenu wanaJF,

Kwa mlioko Mwanza, nina boti ndogo ambayo hutumika kwa shughuli za uvuvi pale ziwa Victoria, niliachiwa urithi na baba. Sasa mkataba wa aliyekodisha mara ya kwanza umeisha na sitaki umeisha na sitaki kuendelea nae maana kwa taarifa niizonazo, anautumia kwa magendo. Kama uko interested kukodisha ufanye biashara please niPM.
 
Back
Top Bottom