Nako huku kumbe kuna mfumo!

Nako huku kumbe kuna mfumo!

Nkundwe Sr

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
6,299
Reaction score
9,797
UKAWA mnanifurahisha na mfumo wenu mnaoutumia. Au mfumo wenu ni ule wa kuwakata walioshinda kwenye kura za maoni na kuwaweka mnaowataka au mfumo wenu ni kuwauzia chama wenye hela na kukitawala.

Au mfumo wenu ni kuwafukuza waanzilishi wa chama na kuwapokea makapi ya CCM au mfumo wenu ni ule wa nyie kwa nyie wa kugombania majimbo?

Je mfumo wenu ni ule wa kuwasafsha watu ambao mlishakwisha watuhumu kuwa ni mafisad waliokubuhu yaani wako kwenye list ya mafisadi wa Taifa leo hii kisa wapo upande wenu mnawasafsha.

Nataka kujua kuwa je mfumo wenu ni ule wakukurupuka leo hii unasema hivi kwa mabaya kisa haukonacho lakini kesho ukipata unakisfia? Hivi nyie vigeugeu ndo mnataka mpewe nchi? yaani UKAWA hamueleweki.
 
Mfumo tumefikiria kuunganisha mifumo ya vyama vyote uwe mfumo mmoja.tatizo itikadi ndio zinasumbua. Sisi ni mapebari. Cuf ni waliberali kama tulivyokuwa tunadema. Nccr mfumo wa kimageuzi na nld mpaka leo tunafanya uchunguzi hatujajua wana mlengo gani.
Tuliteleza kidogo makamanda wetu waliposema cuf wana sera za kusupport ushoga. Ulimi uliteleza kidogo.ila hatujasafisha maneno hayo kwenye ansadi za bunge kwa hiyo bado kumbukumbu ipo.
 
Pia tuna mfumo wa kikaskazini. Hii haina ubishi fanya tafiti asilimia kubwa wanaunga mkono ukawa yetu wanatoka pande hiyo. Hili ni tatizo kidogo kwa ustawi wa nchi
 
Waislamu msimpe lowassa kura. lowassa ameletwa ukawa na gwajima. Lowaasaa akishinda gwajima atakua na nguvu sana. Gwajima haupendi uislamu. Vile lowassa nae ana chembechembe za kuuchukia uislamu, wakiwa madarakani wataangamiza uislamu.

Waislamu amkeni. Semeni NO kwa lowassaaaaa

Lowasa ndiye aliesaini mkataba uliyoyapa makanisa haki ya kupewa ruzuku na serikali. Waislamu wameachwa bila ruzuku yoyote licha ya kuwa walipa kodi pia.

WALLAHI mkimpa kura lowassa mtaingia motoni
Mpeni kura magufuli. Siyo mdini
 
Sipendi nshu za kidini ila Kwa Lowassa twende kazi huyu ni janga
 
Pia tuna mfumo wa kikaskazini. Hii haina ubishi fanya tafiti asilimia kubwa wanaunga mkono ukawa yetu wanatoka pande hiyo. Hili ni tatizo kidogo kwa ustawi wa nchi

Nimtihani kwahilo
 
Mfumo tumefikiria kuunganisha mifumo ya vyama vyote uwe mfumo mmoja.tatizo itikadi ndio zinasumbua. Sisi ni mapebari. Cuf ni waliberali kama tulivyokuwa tunadema. Nccr mfumo wa kimageuzi na nld mpaka leo tunafanya uchunguzi hatujajua wana mlengo gani.
Tuliteleza kidogo makamanda wetu waliposema cuf wana sera za kusupport ushoga. Ulimi uliteleza kidogo.ila hatujasafisha maneno hayo kwenye ansadi za bunge kwa hiyo bado kumbukumbu ipo.

Ulimi ulitereza!!! Hakuna hilo
 
Zote ulizoongea ni habari zilizokwishatolewa ufafanuzi. Kwahivyo kuendelea kuziongelea kwa kiswahili fasaha tunasema ni porojo
 
UKAWA MNANFURAHSHA NA MFUMO

au mfumo wenu ni ule wa kuwakata walioshinda kweny kura za maon na kuwaweka mnaowataka

au mfumo wenu ni kuwauzia chama weny hela na kukitawala

au mfumo wenu ni kuwafukuza waanzilish wa chama na kuwapokea Makapi ya CCM u mfumo wenu ni ule wa nyie kwa nyie wa kugombania majimbo

au mfumo wenu ni ule wa kuwasafsha watu ambao mlshakwisha watuhumu kuwa ni Majifisad waliokubuh yaan wako kweny list ya mafsad wa taifa leo hii ksa wapo upande wenu mnawasafsha.

au mfumo wenu ni ule wakukurupuka leo hii unasema hv kwa mabaya ksa haukonacho lkn kesho ukkpata unaksfia,,
hv nyie vigeugeu ndo mnataka mpewe nchi? yaan ukawa hamuelewek mmekuwa km mvua za dar

Au mfumo ni mwenye chama na mwenyekiti wa chama ni mtu na mkwewe. Asilimia 80 ya viongozi ni wachaga, halafu walutheri. Asilimia 90 ya wafuasi kichwani ni sifuri
 
Pia tuna mfumo wa kikaskazini. Hii haina ubishi fanya tafiti asilimia kubwa wanaunga mkono ukawa yetu wanatoka pande hiyo. Hili ni tatizo kidogo kwa ustawi wa nchi

Mkuu hivi ccm ilikuwa na wabunge wangapi kutoka kaskazini ktk bunge lililo pita?
 
Au mfumo ni mwenye chama na mwenyekiti wa chama ni mtu na mkwewe. Asilimia 80 ya viongozi ni wachaga, halafu walutheri. Asilimia 90 ya wafuasi kichwani ni sifuri
Au asilimia 0.01 ya viongozi ni waislamu. Hawa kiukweli wanaonekana ni mbumbumbu na wanawadharau sana lakini hawajitambui. Mfano Prof. Wetu..
 
Mkuu hivi ccm ilikuwa na wabunge wangapi kutoka kaskazini ktk bunge lililo pita?

Hatuzungumzii ccm hapa tunazungumzia chama chetu tuu. Tunataka wajitambue na waanze kufanya mabadiliko ndani ya chama. Tukiwaachia tuu watatupelekesha baadae
 
Back
Top Bottom