Nakitafuta kitabu hiki ''Pepo ya mabwege''

Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,726
3,778
Nafikiri ni wakati muafaka kusoma kitabu hicho, Ila kwa bahati mbaya sijui nani ndiye mtunzi wa Kitabu hicho.

Moja kati ya sentensi yake ni:-

„......Hiyo nd'o pepo ya mabwege, pepo isiyo pepo ambayo bwege anaipata kwa kuuza utu wake,“ ..... (Uk. 33)
 
mwakyembe bwana.......

upload_2017-5-11_8-27-44.jpeg
 
Nafikiri ni wakati muafaka kusoma kitabu hicho, Ila kwa bahati mbaya sijui nani ndiye mtunzi wa Kitabu hicho.

Moja kati ya sentensi yake ni:-

„......Hiyo nd'o pepo ya mabwege, pepo isiyo pepo ambayo bwege anaipata kwa kuuza utu wake,“ ..... (Uk. 33)

Dah Kitabu cha zamani sana hicho
 
  • Thanks
Reactions: SDG
mkuu kama una vitabu vingine vizuri vya kiingereza/kiswahili naomba soft copy kama unazo ntashukuru sana
Jamani Kuna vitabu vya muandishi bora kabisa kuliko wote waliotokea tanzania. Mohamed Said Abdullah. Kama siri ya sifuri. Duniani kuna watu. Kisima cha ginigi na vingine vingi
 
jamani tunaomba msaada hvi vitabu tnavpataje kuvisoma kwny mtandao kma kuna mtu mwnye anajua blog au wwbsite ya hzi riwaya atusaiidie na sisi tuburudke
 
vinapatikana wapi hivyo mkuu?
Mimi niliviagiza zanzibar. Ila nikapata duniani kuna watu na kisima cha ginigi. Siri ya sifuri mwanamke mmoja waume watatu na vingine sikuwahi kuvipata ila nilivisoma wakati nipo high school. Msimsahau kezilahabi, kwenye mizingile na tumaini anajua sana
 
Mwakyembe aliandika kitabu hicho wakati akili yake inafanya kazi kuntu kabisa. Huyu wa leo ni tofauti kabisa. Pia msisahau vitabu kama kile cha "machozi ya mwanamke, kivuli kinaishi, Rosa mistika " . Kwakweli zamani tulikuwa tunasoma sana Vitabu leo hii mafacebook yametuharibia
 
Mimi niliviagiza zanzibar. Ila nikapata duniani kuna watu na kisima cha ginigi. Siri ya sifuri mwanamke mmoja waume watatu na vingine sikuwahi kuvipata ila nilivisoma wakati nipo high school. Msimsahau kezilahabi, kwenye mizingile na tumaini anajua sana
ok ntarajibu kuvitafuta mkuu
 
Back
Top Bottom