Nakitafuta kitabu hiki ''Pepo ya mabwege''

Nakitafuta kitabu hiki ''Pepo ya mabwege''

Nimekikumbuka hii kitabu, naweza kupata nakala ngumu au nakala laini ya kitabu hiki? Kingine ni NJOZI ILIYOPOTEA cha Crispin Mung'ong'o.
 
Nafikiri ni wakati muafaka kusoma kitabu hicho, Ila kwa bahati mbaya sijui nani ndiye mtunzi wa Kitabu hicho.

Moja kati ya sentensi yake ni:-

„......Hiyo nd'o pepo ya mabwege, pepo isiyo pepo ambayo bwege anaipata kwa kuuza utu wake,“ ..... (Uk. 33)
Naye aliishia kuwa bwege
 
Back
Top Bottom