Nakitafuta kitabu hiki ''Pepo ya mabwege''

Nakitafuta kitabu hiki ''Pepo ya mabwege''

upload_2017-5-11_20-31-43.jpeg
upload_2017-5-11_20-33-41.jpeg
upload_2017-5-11_20-39-14.jpeg
upload_2017-5-11_20-40-14.png
 
Mkuu hii pepo ya mabwege ipo yote ktk hii PDF format?
 
Tumeni vitabu vya hadithi vya kutosha maana siku hizi hakuna hadithi za mababu kwenye "kikome" moto
 
Thanks mkuu. Ngoja tuona jinsi enzi hizo alivyokuwaga muelewa.
 

Attachments

Kuli Na kasri ya Mwinyi Fuad
Mwakyembe aliandika kitabu hicho wakati akili yake inafanya kazi kuntu kabisa. Huyu wa leo ni tofauti kabisa. Pia msisahau vitabu kama kile cha "machozi ya mwanamke, kivuli kinaishi, Rosa mistika " . Kwakweli zamani tulikuwa tunasoma sana Vitabu leo hii mafacebook yametuharibia
 
Back
Top Bottom