Nakiri: True Confessions

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila mna hamu saa nije nilete uzuri wa kuomba ushauri hapa.

Na mimi naomba hayo yasitokee.

Tuone maombi yenu au yangu yatakuwa na nguvu zaidi.
Tunakuombea kheri baba..inshallah ndoa yako ikawe yenye baraka mzae na matunda mema
 
Hahaha... nyie mnakosea saana.

Mnatudanganyia dada zetu hapa jukwaani kisha mnaoa wengine huko nje.

Kwanini wasibadilishe majina?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ni muda sasa wa kuiomba JamiiForums iboreshe miundo mbinu ya jamvi ili mtu akibadili jina data zote zibadilike na tusiweze kujua ID yake ya zamani.

Hata hivyo mke wangu nimemjua hata kabla sijaijua JF.
 
moyafricatz,

Inakuaje unchepuka bila kuvaa condom?

Yaelekea fani ya uchepukani wewe ni rookie!

Rule number uno,vaa kondomu ALL the fvcken freaking time!

Tatizo sio huyo dada wala kitendo cha uchepukani

Tatizo ni wewe na poor decision making skills zako za hovyo!

Its all on you my nigga!
 
NAKIRI kwamba mwaka 2019 nimetoka na michepuko saba Na yote ni wake za watu.

Wake za watu ni mtaji mzuri sana. Hawana shida.

Japo magonjwa nnje nnje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakiri kabisa mwaka uliopita nilifanya uamuzi wa kuoa baada ya kudumu katika mahusiano kwa muda wa miaka 3.
Nami nikiri mwaka 2019 ndio mwaka niliofanya maamuzi magumu zaidi:

•Kwanza niliamua kufunga ndoa na aliekua mchumba angu kwa miaka 3, sahizi tuna miezi saba na nusu ya ndoa

•Pili niliacha rasmi kuvuta sigara,

•Tatu ni mwaka ambao nimekua muaminifu kwa mke wangu sijachepuka hata mara moja, hili naomba Mungu anipe ujasiri maana magonjwa ni mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo naskiliza Confession 1 and 2 kutoka kwa Usher Raymond [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

ᴮʸ cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᵈ
 
Hongera sana mkuu kwa uamuzi huo mzuri wa kijasiri. Mungu akujalie uendelee na msimamo huo huo
 
Hakikisha una strong Heart, bila hivyo utarest in peace
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…