Nakiri leo kuwa Mungu yupo!

Nakiri leo kuwa Mungu yupo!

Bado hujaamini Mungu yupo,
Sababu Mungu haonekani ,

Mungu wa kweli yupo kwenye moyo wako,
Na sio huyo babu aliyekutokea.
 
Kuna Mungu na mungu!, Japo umeandika mungu, najua ulimaanisha Mungu!. Kuliandika jina la Mungu kwa capital M ni somo la darasa la 3!, majina yote huanza na capital letter!. Hapo ukute wewe Mkuu The Nugget ni graduate wa LL.B mwenye 1st Class alafu umejoin LST!.
P
Kwanza kabisa thibitisha Mungu yupo.
Mkuu Kiranga , hili ndilo swali lako la ziku zote tangu nimejiunga jf, na kila siku huwa nalijibu kuwa
Mungu yupo!, ndiye aliyeziumba mbingu na nchi na kutuumba sisi na viumbe vyote!.
Karibu mitaa hii!

Hujathibitisha Mungu yupo.

Umetoa kauli ya kiimani kwamba Mungu yupo.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Back
Top Bottom