Nakiri leo kuwa Mungu yupo!

Nakiri leo kuwa Mungu yupo!

Katika watu ambao walikuwa wabishi kuhusu uwepo wa Mungu mimi wa kwanza na nilikuwa na sababu zangu

Sababu hasa ilikuwa matatizo ambayo nilikuwa nayo:

Nilikuwa na matatizo ya ugonjwa wa ini. Niliteseka saana. Nilikwenda hospitali mbalimbali bila mafanikio yoyote yale. Nilikwenda kwenye Makanisa mbalimbali kutafuta msaada bila mafaniko nilikwenda kwa waganga wa asili bila mafanikio.

Familia na ndugu zangu walikuwa wanasubiri tu siku nitoweke duniani. Na mimi nilikuwa nimeshakata tamaa ya kuishi kabisa maana. Tumbo ilikuwa imeanza kujaa maji na miguu kuvimba.

Kuna siku ilikuwa mchana nilikuwa nimepumzika ndani. Sijui nini kilitokea mpaka sasa hivi sijuagi kama nilikuwa nipo kwenye ndoto au nilikuwa vipi. Nilijikuta nimechukuliwa mpaka makaburini na mzee mmoja ambaye huyo mzee alikuwa tayari ameshakufa alikuwa naishi mtaani kwetu pale. Ndo nilijikuta nipo naye akawa ananiambia unajua dawa ya ugonjwa wako ni nini.

Nikajibu sijui mzee wangu nateseka saana na ugonjwa huu mimi ni wakufa tu akajibu apana wewe sio wakufa
Dawa ya ugonjwa wako ni jiwe ili akanipa jiwe fulani hivi jeusi akaniambia nimeze jiwe ilo nitapona. Nilimeza jiwe hilo halafu baada ya hapo nikajikuta nimeamka.

Kufika jioni nilianza kutapika damu kuharisha damu walinikimbizi hospitalini watu walikuwa wameanza kulia nyumbani kwetu maana walijua mwisho wangu umefika. Nilipelekwa huko hospitalini. Nilifanya siku 4 sijui mchana ni upi au usiku ni upi nilikuwa nimezimia.

Madokta nao walikuwa wanasubiri moyo usimame tu maana wazee wangu walikuwa hawana pesa za matibabu ambayo walikuwa wanaomba. Baada ya wiki hali yangu ilianza kurudi polepole mpaka nikapona kabisa. Sasa hivi mimi ni mzima wa afya kabisa.

Ila mpaka sasa hivi najiulizaga maswali mengi kuhusu ndoto hile yule alikuwa Mungu alikuja kwa sura ya yule mzee au ni mambo tu wazee wetu.
Walikua wanasubili utoweke duniani... Duh pole aisee kama ni kweli
 
Pole na hongera kwa kupona.

Mwishoni unakiri mwenyewe huna uhakika yule ni Mungu au lah ila kichwa cha Uzi unasema ni Mungu.

Bado unalo Hilo Jiwe uwaponye na wengine au Mungu anakupenda wewe tu wengine sio watoto wake? Itapendeza kama utaenda nalo Muhimbili pale kuwaponya na wengine waache kuteseka na madaktari waache kupoteza muda wao.
Jiwe hilo sina na silijui kama ni jiwe gani na linapatikana wapi apa duniani ila lenyewe lilikuwa jiwe ndogo saana tena jeusi
 
Let's put this in perspective and assume wewe ni mzazi una watoto wawili wote wanaumwa, utamtibu mmoja na kumuacha mwingine akiendelea kuteseka ilhali una uwezo wa kuwatibu wote?
 
Ni ndoto tu hiyo.....ungekufa ungekuja kusimulia hiyo ndoto na kusema mungu yupo?
 
Huyo sio Mungu, ndoto yako inaeleza umeenda makaburini na mzee wa kitaa alafu ukute huyo mzee mtu wa lamli, makaburi ni malango ya kuzimu, wewe umeingia kwenye mikataba hamna Mungu hapo
 
Katika watu ambao walikuwa wabishi kuhusu uwepo wa Mungu mimi wa kwanza na nilikuwa na sababu zangu

Sababu hasa ilikuwa matatizo ambayo nilikuwa nayo:

Nilikuwa na matatizo ya ugonjwa wa ini. Niliteseka saana. Nilikwenda hospitali mbalimbali bila mafanikio yoyote yale. Nilikwenda kwenye Makanisa mbalimbali kutafuta msaada bila mafaniko nilikwenda kwa waganga wa asili bila mafanikio.

Familia na ndugu zangu walikuwa wanasubiri tu siku nitoweke duniani. Na mimi nilikuwa nimeshakata tamaa ya kuishi kabisa maana. Tumbo ilikuwa imeanza kujaa maji na miguu kuvimba.

Kuna siku ilikuwa mchana nilikuwa nimepumzika ndani. Sijui nini kilitokea mpaka sasa hivi sijuagi kama nilikuwa nipo kwenye ndoto au nilikuwa vipi. Nilijikuta nimechukuliwa mpaka makaburini na mzee mmoja ambaye huyo mzee alikuwa tayari ameshakufa alikuwa naishi mtaani kwetu pale. Ndo nilijikuta nipo naye akawa ananiambia unajua dawa ya ugonjwa wako ni nini.

Nikajibu sijui mzee wangu nateseka saana na ugonjwa huu mimi ni wakufa tu akajibu apana wewe sio wakufa
Dawa ya ugonjwa wako ni jiwe ili akanipa jiwe fulani hivi jeusi akaniambia nimeze jiwe ilo nitapona. Nilimeza jiwe hilo halafu baada ya hapo nikajikuta nimeamka.

Kufika jioni nilianza kutapika damu kuharisha damu walinikimbizi hospitalini watu walikuwa wameanza kulia nyumbani kwetu maana walijua mwisho wangu umefika. Nilipelekwa huko hospitalini. Nilifanya siku 4 sijui mchana ni upi au usiku ni upi nilikuwa nimezimia.

Madokta nao walikuwa wanasubiri moyo usimame tu maana wazee wangu walikuwa hawana pesa za matibabu ambayo walikuwa wanaomba. Baada ya wiki hali yangu ilianza kurudi polepole mpaka nikapona kabisa. Sasa hivi mimi ni mzima wa afya kabisa.

Ila mpaka sasa hivi najiulizaga maswali mengi kuhusu ndoto hile yule alikuwa Mungu alikuja kwa sura ya yule mzee au ni mambo tu wazee

Ww umepona mshukuru mungu tu hayo mengine yatakuumiza kichwa
 
Kichwa cha habari na maudhui yake vina kinzana..
 
MUNGU ni mwema kila wakati yakupasa kumshukuru maana yeye ni mtetezi na msimamizi wa maisha YAKO akisema ndiyo hakuna wa kumpinga
 
Wajuvi watakwambia ni mizimu ya kwenu...

Glory glory to our almighty God haleluya
 
Kuna kipindi Musa alifanya kosa la kuwahesabu wana wa Israel bila kuruhusiwa na Mungu basi mwenyezi Mungu alikasirika na kuwapatia pigo la ugonjwa wa ajabu...

Musa akaamliwa aitengeneze fimbo mfano wa nyoka na aiweke juu pahala ambapo kila mmoja angeliweza kuiona hivyo, basi kila aliyeiona hiyo fimbo alipona ugonjwa ule ila kwa yule ambaye hakuiona alikufa.

Kumbuka pia na kupona kwa naamani vile vile yesu kumpakaa matope yule kipofu..

Mwenyezi mungu anazo namna tofauti tofauti za kufanya miujiza hadi zingine zinaogofya....

Usijeshangaa unaenda kwa mganga wako akakuambia tumuombe Mungu na ugonjwa wako utapona na ukapona...
Mkuu kwisha , kwanza pole kwa changamoto ulizipitia, na hongera kwa kupona. Ukiisha amini kuwa Mungu yupo na umepona kwa uwezo wa Mungu, kuwa na imani thabiti kuwa ni Mungu na usiendelee kujiuliza maswali maswali huyo babu ni nani, ulilishwa nini etc, maadam you are cured from your illness, then be firm mponyaji ni mmoja tuu, The One and Only HIM!.

Uponyaji wako ni kupitia mizimu ya mababu zako, ndio wenye mambo ya kupelekana makaburini na kulishana vitu!, ingekuwa ni Mungu, then ungetokewa na Mwanga tuu, kushtuka ungejikuta umetakasika na kupona instantly!.

Kitu usichokijua ni kilichokuponya sio huyo babu, sio safari ya makaburini wala hilo jiwe!, its you, wewe mwenyewe!. Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo? pia tembelea "Will Powers!", "Faith Healing!"-Nguvu za Kufanya Miujiza ya Uponyaji kwa Imani. Kila Mtu Anazo!

Ubarikiwe sana.
P
 
Katika watu ambao walikuwa wabishi kuhusu uwepo wa Mungu mimi wa kwanza na nilikuwa na sababu zangu

Sababu hasa ilikuwa matatizo ambayo nilikuwa nayo:

Nilikuwa na matatizo ya ugonjwa wa ini. Niliteseka saana. Nilikwenda hospitali mbalimbali bila mafanikio yoyote yale. Nilikwenda kwenye Makanisa mbalimbali kutafuta msaada bila mafaniko nilikwenda kwa waganga wa asili bila mafanikio.

Familia na ndugu zangu walikuwa wanasubiri tu siku nitoweke duniani. Na mimi nilikuwa nimeshakata tamaa ya kuishi kabisa maana. Tumbo ilikuwa imeanza kujaa maji na miguu kuvimba.

Kuna siku ilikuwa mchana nilikuwa nimepumzika ndani. Sijui nini kilitokea mpaka sasa hivi sijuagi kama nilikuwa nipo kwenye ndoto au nilikuwa vipi. Nilijikuta nimechukuliwa mpaka makaburini na mzee mmoja ambaye huyo mzee alikuwa tayari ameshakufa alikuwa naishi mtaani kwetu pale. Ndo nilijikuta nipo naye akawa ananiambia unajua dawa ya ugonjwa wako ni nini.

Nikajibu sijui mzee wangu nateseka saana na ugonjwa huu mimi ni wakufa tu akajibu apana wewe sio wakufa
Dawa ya ugonjwa wako ni jiwe ili akanipa jiwe fulani hivi jeusi akaniambia nimeze jiwe ilo nitapona. Nilimeza jiwe hilo halafu baada ya hapo nikajikuta nimeamka.

Kufika jioni nilianza kutapika damu kuharisha damu walinikimbizi hospitalini watu walikuwa wameanza kulia nyumbani kwetu maana walijua mwisho wangu umefika. Nilipelekwa huko hospitalini. Nilifanya siku 4 sijui mchana ni upi au usiku ni upi nilikuwa nimezimia.

Madokta nao walikuwa wanasubiri moyo usimame tu maana wazee wangu walikuwa hawana pesa za matibabu ambayo walikuwa wanaomba. Baada ya wiki hali yangu ilianza kurudi polepole mpaka nikapona kabisa. Sasa hivi mimi ni mzima wa afya kabisa.

Ila mpaka sasa hivi najiulizaga maswali mengi kuhusu ndoto hile yule alikuwa Mungu alikuja kwa sura ya yule mzee au ni mambo tu wazee wetu.
Kila mtu ana malaika wake
 
Mizimu ya Afrika Ina nguvu sana, huo ni mzimu wa mababu zako. Tuseme wao wako karibu na Mungu kwa kuwa wao ni roho kama alivyo Mungu. Ni mzimu uliotumwa kukuponyesha.
 
Pole na hongera kwa kupona.

Mwishoni unakiri mwenyewe huna uhakika yule ni Mungu au lah ila kichwa cha Uzi unasema ni Mungu.

Bado unalo Hilo Jiwe uwaponye na wengine au Mungu anakupenda wewe tu wengine sio watoto wake? Itapendeza kama utaenda nalo Muhimbili pale kuwaponya na wengine waache kuteseka na madaktari waache kupoteza muda wao.
Dah!
 
Kuna kipindi Musa alifanya kosa la kuwahesabu wana wa Israel bila kuruhusiwa na Mungu basi mwenyezi Mungu alikasirika na kuwapatia pigo la ugonjwa wa ajabu...

Musa akaamliwa aitengeneze fimbo mfano wa nyoka na aiweke juu pahala ambapo kila mmoja angeliweza kuiona hivyo, basi kila aliyeiona hiyo fimbo alipona ugonjwa ule ila kwa yule ambaye hakuiona alikufa.

Kumbuka pia na kupona kwa naamani vile vile yesu kumpakaa matope yule kipofu..

Mwenyezi mungu anazo namna tofauti tofauti za kufanya miujiza hadi zingine zinaogofya....

Usijeshangaa unaenda kwa mganga wako akakuambia tumuombe Mungu na ugonjwa wako utapona na ukapona...

Sometimes ukitumia logic unabaki mdomo wazi....so aliekosea ni Mussa halafu walioadhibiwa Kwa magonjwa na vifo ni watu wengine?
 
ulichonisaidia ni hako kajiwe keusi, na vitasakwa ivoooo!! heee!....kuumbe ni dawa tena ya kumeza tu? ka size gani kwanza!
 
kwa maelezo yako pasco nahisi haumini chochote kuhusu mungu! mtu hana nguvu ya kumponya mwenyewe kwa sababu na yeye ameumbwa na mungu na ile nguvu unayohisi mtu anayo na maumbile vinatii kwa mungu aliyeviumba na kuvitiisha!
 
Back
Top Bottom