Nakiri kupokea mgao wa ESCROW

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
8,702
Reaction score
14,403
Wadau nikiwa kama mwanajamii naomba kukiri kupokea mgao wa pesa za escrow tsh mill 20 nikabadili kavitz kangu na kumalizia banda langu fasta na kuhamia
Sasa mnapodai zirudishwe wengine mtatuua kwa presha bure
 
Tutavithaminisha kwa bei ya wakati wa kutaifisha ukifika
 
Hahahahha nice...usipate presha wataongea wee then yataisha. Mbona ulipata ndogo wewe. Wenzio wamepiga billion wewe kamilion 20 tuu
 
Hahahahha nice...usipate presha wataongea wee then yataisha. Mbona ulipata ndogo wewe. Wenzio wamepiga billion wewe kamilion 20 tuu

Unamfariji tuu Huyo omba Mungu shishiemu itawale milele, akichukua nchi ukawa amekwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…