Mimi ni bonge la handsome na ki ukweli nakubalika kirahisi sana kwa wanawake ingawa si mtu wa kujali sana masuala ya mapenzi kwa vile ninajua madhala ya kuendekeza sana. Hata hivyo nina tatizo moja kubwa nalo ni kuachia mapema hata kwa mtu niliyempenda sana mwanzoni. Hapa namaanisha kwamba ingawa si mtu wa kubadilisha wanawake mara kwa mara lakini kwa yule atakayebahatika kukutana na mimi basi huwa tuna muda mfupi tu kabla sijamwacha. Huwa inakuwa ngumu sana kumwacha mwanamke ambaye hajakukosea jambo lakini huwa najitahidi hadi naweza na yeye kubaki kunitazama tu. Kwa kuwa sipendi hali hii hebu wadau mnipe ushauri ni vipi nidumu na demu mmoja. Nawasilisha.

H Master... Your opening line "Mimi ni bonge la handsome" kwa wewe mwanaume... ni tatizo... GOD! Where are Men these days... Dah!

Hilo tatizo naona limetokana na hali ya kusema toka uko very young ulijitambua kua you are handsome - ambayo mara nyingi ni sumu ya growth in areas za Kujituma katika maisha.. Ku appreciate wanawake katika relationship... Kua intelligent (as in inaonesha ukoo soo selfish na self-centred); Hayo mambo yaweza pelekea wewe ushindwe kabisa ku perform (na research inaonesha Most wanaume handsome saaana ni wabovu kabisa - hasa kama wanajifahamu).

Hivo basi naona hio hali yako inatokana na Ukweli kwamba unaona Uzuri wako unatosha kabisa kuweza mchengua Mwanamke... na umekuridhisha saana nafsi yako kuliko hata jinsi wanaume wengine wanaporidhika nafsi zao if they get a ride.... Hata hivo yawezekana bado tu hujampata wa kukushika maskio... Kukinai ni jadi ya most wanaume, ila tu aweza kukinai but asikuache akaendelea kukuchanganya na wengine mpaka vibe irudi...
Mimi ni bonge la handsome na ki ukweli nakubalika kirahisi sana kwa wanawake ingawa si mtu wa kujali sana masuala ya mapenzi kwa vile ninajua madhala ya kuendekeza sana. Hata hivyo nina tatizo moja kubwa nalo ni kuachia mapema hata kwa mtu niliyempenda sana mwanzoni. Hapa namaanisha kwamba ingawa si mtu wa kubadilisha wanawake mara kwa mara lakini kwa yule atakayebahatika kukutana na mimi basi huwa tuna muda mfupi tu kabla sijamwacha. Huwa inakuwa ngumu sana kumwacha mwanamke ambaye hajakukosea jambo lakini huwa najitahidi hadi naweza na yeye kubaki kunitazama tu. Kwa kuwa sipendi hali hii hebu wadau mnipe ushauri ni vipi nidumu na demu mmoja. Nawasilisha.
Mimi ni bonge la handsome na ki ukweli nakubalika kirahisi sana kwa wanawake ingawa si mtu wa kujali sana masuala ya mapenzi kwa vile ninajua madhala ya kuendekeza sana. Hata hivyo nina tatizo moja kubwa nalo ni kuachia mapema hata kwa mtu niliyempenda sana mwanzoni. Hapa namaanisha kwamba ingawa si mtu wa kubadilisha wanawake mara kwa mara lakini kwa yule atakayebahatika kukutana na mimi basi huwa tuna muda mfupi tu kabla sijamwacha. Huwa inakuwa ngumu sana kumwacha mwanamke ambaye hajakukosea jambo lakini huwa najitahidi hadi naweza na yeye kubaki kunitazama tu. Kwa kuwa sipendi hali hii hebu wadau mnipe ushauri ni vipi nidumu na demu mmoja. Nawasilisha.
Utakua na alama kwenye kiganja(palmistry) utakua Broken heart...kama vip ni PM!Mimi ni bonge la handsome na ki ukweli nakubalika kirahisi sana kwa wanawake ingawa si mtu wa kujali sana masuala ya mapenzi kwa vile ninajua madhala ya kuendekeza sana. Hata hivyo nina tatizo moja kubwa nalo ni kuachia mapema hata kwa mtu niliyempenda sana mwanzoni. Hapa namaanisha kwamba ingawa si mtu wa kubadilisha wanawake mara kwa mara lakini kwa yule atakayebahatika kukutana na mimi basi huwa tuna muda mfupi tu kabla sijamwacha. Huwa inakuwa ngumu sana kumwacha mwanamke ambaye hajakukosea jambo lakini huwa najitahidi hadi naweza na yeye kubaki kunitazama tu. Kwa kuwa sipendi hali hii hebu wadau mnipe ushauri ni vipi nidumu na demu mmoja. Nawasilisha.
Kituko ume..... anakuvutia kwa huo u-handsome wake?naomba kuuliza

Hiyo Avator ndio picha yako handsome man?
H Master... Your opening line "Mimi ni bonge la handsome" kwa wewe mwanaume... ni tatizo... GOD! Where are Men these days... Dah!
We Ashadii dont tell me you havent seen a man! Here we are bhana...

Asante, ntajitahidi kwa kwa huyu nliye naye sasa, Rose wa kichagga.Unajisikia uko juu ndio maana unashindwa ku appreciate wanawake unaokuwa nao, unasema hubadili wakati unakinai hivo?
unahitaji kubadilika dunia ya leo siyo ya kubadili kila unapojisikia, mahusiano unaweza kuwa na partner wako leo unaweza kua
mka na kujiona kama humtamani wala humpendi, unauchuna na kesho yake ukiamka yuleyule partner wako ukimwangalia
unajiona the luckiest person kwenye dunia hii...kuwa mvumilivu