Nakereka sana na wanaotafuta wachumba mtandaoni

To be honest nachukizwa sana na hii tabia ya watu wanaotafuta wachumba mitandaoni yaani nakerwa mno,

Hasa jf nyuzi za kutafuta wachumba zimekua nyingi sana inafika stage adi nashindwa kuingia jukwaa langu pendwa (MMU) kwa sababu ya nyuzi kama hizi

Unakuta mwanaume kabisa unaanzisha thread ya kutafuta mchumba! are you mbumbumbu?

Afu unakuta mtafuta mchumba mwenyewe hayuko seriously ataweka vigezo vingi utafikiri anatoa ajira hivi

Tusichoshane kama unaona wakati wako wa kuoa/kuolewa umefika rudi kwa wazazi wako wakusaidie sio kuja kusumbua watu mtandaoni

Watu tuna mawazo ya jiwe tunakuja huku kutoa stress tunakutana na nyuzi za kutafuta wachumba

Mkome mxieew
Uwe unapita tu bila kuzisoma hzo nyuzi,
Mwanaume wa kweli mambo kama hayo akiona huwa anauchuna tu na kusonga mbele na nyuzi zingine,
Mwanaume unatakiwa uwe na kifua cha kumezea tu mambo madogomadogo hayo!
Siyo unakuwa na kifua cha panzi/plastic.
Kiherehere mbele tu. Pita kmy acha wa kutafta watafte.
 
Leo ni siku gani na juzi ilikuwa siku gani ?
Aaaah ex darling nimekustukia unatafuta faraja ya arsenal, nimegoma sitaki[emoji23][emoji23][emoji23]
Nalala mwenyewe leo.
 
ngoja mbona unataka kutumia akili katika mambo yasiotumia akili
 
Wengine matapeli, wengine tunataka tuwajue wanajf, wengine wanafurahia tu kuchitchat kwahiyo usipokuwa makini utaingizwa mjini.
Mbn hata mm nimeshawahi kutafuta wachumba huko nawajua wanajf kibaoo

Kuwa makini na nyuzi za wachumba zina siri kubwa.

Nyongeza: Asilimia kubwa ya wanajf wa kiume wameoa tofaut na wanawake.

Ambao hawajaoa wanaume wengi ni jobless wana stress za kutoka chuo ukiona nyuzi za mahusiano kimbia kama usain bolt.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Demiss umesema...?
 
Atafutwe mwingine we ukureke!!! Sio bure kuna kitu hapa[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Wengine matapeli, wengine tunataka tuwajue wanajf, wengine wanafurahia tu kuchitchat kwahiyo usipokuwa makini utaingizwa mjini.
Mbn hata mm nimeshawahi kutafuta wachumba huko nawajua wanajf kibaoo

Kuwa makini na nyuzi za wachumba zina siri kubwa.

Nyongeza: Asilimia kubwa ya wanajf wa kiume wameoa tofaut na wanawake.

Ambao hawajaoa wanaume wengi ni jobless wana stress za kutoka chuo ukiona nyuzi za mahusiano kimbia kama usain bolt.
asante ila mi sipendi tu matangazo yao ya kutafuta wachumba, ningeweza ningewashauri mods matangazo kama hayo yawe yanaripiwa
 
Ulijuaje hawako serious? Uliwafuata ukala cha mbavu?
Vumilia tu mkuu yote maisha.
Mbona huwa wanareta mrejesho mama, wengi wao kilio chao kimoja kwamba hawako serious
 
Uwe unapita tu bila kuzisoma hzo nyuzi,
Mwanaume wa kweli mambo kama hayo akiona huwa anauchuna tu na kusonga mbele na nyuzi zingine,
Mwanaume unatakiwa uwe na kifua cha kumezea tu mambo madogomadogo hayo!
Siyo unakuwa na kifua cha panzi/plastic.
Kiherehere mbele tu. Pita kmy acha wa kutafta watafte.
ishu sio kusoma, hujanielewa nimesema nyuzi zimekua nyomi
 
To be honest nachukizwa sana na hii tabia ya watu wanaotafuta wachumba mitandaoni yaani nakerwa mno,

Hasa jf nyuzi za kutafuta wachumba zimekua nyingi sana inafika stage adi nashindwa kuingia jukwaa langu pendwa (MMU) kwa sababu ya nyuzi kama hizi

Unakuta mwanaume kabisa unaanzisha thread ya kutafuta mchumba! are you mbumbumbu?

Afu unakuta mtafuta mchumba mwenyewe hayuko seriously ataweka vigezo vingi utafikiri anatoa ajira hivi

Tusichoshane kama unaona wakati wako wa kuoa/kuolewa umefika rudi kwa wazazi wako wakusaidie sio kuja kusumbua watu mtandaoni

Watu tuna mawazo ya jiwe tunakuja huku kutoa stress tunakutana na nyuzi za kutafuta wachumba

Mkome mxieew
Hivi wewe ni wakike au wakiume??
 
Wengine matapeli, wengine tunataka tuwajue wanajf, wengine wanafurahia tu kuchitchat kwahiyo usipokuwa makini utaingizwa mjini.
Mbn hata mm nimeshawahi kutafuta wachumba huko nawajua wanajf kibaoo

Kuwa makini na nyuzi za wachumba zina siri kubwa.

Nyongeza: Asilimia kubwa ya wanajf wa kiume wameoa tofaut na wanawake.

Ambao hawajaoa wanaume wengi ni jobless wana stress za kutoka chuo ukiona nyuzi za mahusiano kimbia kama usain bolt.
Hahahahahaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nahisi unaongoza kwakutembea Na wanaume wa humu sio bure lazima utakua unajifanya biashara
 
Kwani wewe ni lazima uusome huo uzi? Mbona wewe nawe unakera kwa kulalamika lalamika vitu vidogo vya kipuuzi tu?
 
Back
Top Bottom