Nakereka na watu hawa!!!!

Nakereka na watu hawa!!!!

halafu wewe eeee nakuangalia tu
Kumbe wana hisa humu?
Kwanza hao founders/jf admins wanachotaka ni pesa kwa hiyo wanahitaji watu wengi wajiunge(pamoja na kufata sheria), hawa "vikongwe" wa jf wanatujia na falsafa zao za "jf yetu ya zamani".
..Usipokubali changamoto za mawazo tofauti, whether mazuri au mabaya wewe ndo unaonekana kufikiri kwako kuna matatizo.
 
mkiambiwa mnakuwa mbogo ni lazima tuwaseme kwani mnakera sana watu
unatafuta umaarufu kuipitia id za wengine lazima tuwaseme mmezidi hamjui tumetoka wapi na jf yetu hvyo lazima penye kusema tunasema ukweli

jf yenu maanake nini?
 
colonial hangover!!! mmetoka mbali na id zenu !!!!, wekeni majina yenu halisi basi kama mnataka heshima bahati nzuri watu wanawajua vizuri kwa jinsi mnavyojitangaza mkipost kitu jukwaani !!! siku ya siku mkijaanikwa mnapiga kelele . kumbuka "Hakuna dhambi mbaya kama kujifanya kuwa una akili kuliko watu wengine" - dr. kitila. m , oooh sisi wakongwe , jf yetu..badala ya kutanua mtandao wa marafiki nyie mnajibanza kama kitabaka cha juu...yaaaaani ni ujinga ujinga ujinga .kweliii.. NAKEREKA NA WATU HAWA!!!
 
Limesha wahi kuntokea jambo kama hilo ila nikapotezea.
 
colonial hangover!!! mmetoka mbali na id zenu !!!!, wekeni majina yenu halisi basi kama mnataka heshima bahati nzuri watu wanawajua vizuri kwa jinsi mnavyojitangaza mkipost kitu jukwaani !!! siku ya siku mkijaanikwa mnapiga kelele . kumbuka "Hakuna dhambi mbaya kama kujifanya kuwa una akili kuliko watu wengine" - dr. kitila. m , oooh sisi wakongwe , jf yetu..badala ya kutanua mtandao wa marafiki nyie mnajibanza kama kitabaka cha juu...yaaaaani ni ujinga ujinga ujinga .kweliii.. NAKEREKA NA WATU HAWA!!!

Urafiki na wewe mwenye kamba mguuni? Wa nini weye?
 
sorry unataka nisemeje? hebu nikerebishe maana mm kiswahili nimekuja kujifunza hapa tanzania

unamatatizo si bure kwani nani kajifunza kiswahili russia,we kuwa addicted na socialforums doesnt mean unaweza rekebisha network ikizingua maana we ni typewriter tu kama wengine jf yenu we na nani,una akili timamu?
 
Pwa hahahaha...lady gaga naona uwewaka...huu ndio msimu nini?wa vumilie tu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom